Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba endapo hawa wajinga wawili Mbowe na wenje wataiba kura na kushika uongozi, Akili ya wenje ni ndogo, Akili za mbowe zimedumaa anaenda kwa Akili za chawa akina Sugu wavuta bangi, ebu fikiria huo uongozi utakuaje? balaa tupu hawa wati wawili ni punguani wa kutupwa badala ya kunadi sera sasa wamekalia masimango na mambo ya hovyo tupu
Mshaambiwa mitusi na uropokaji haiwaongezei kura.
 
Amtoe Kampeni manager wenu kijana - siku zinaisha awasaidie kusaka kura.
Kura mtaiba ushindi wa lisu mtapora, uchakachuaji mtafanya, kuwaonea watu mtafanya, fanyeni ushetani wenu wote lakini kaa mkijua malipo ni hapa hapa Duniani na chadema itakuwa CUF ya Lipumba endapo hivyo vichwa viwili vibovu wenje na mbowe vitashika uongozi wa chadema
 
Yaani mwenyekiti Mbowe division zero na makamu Wenje Dalali zero brain, chadema inaenda kuwa chama cha hovyo hovyo maana huo muungano ni hatari kwa msitakari wa chama
 
Makubwa😆😆😆 ila akili za watu wa chadema wanazijua wenyewe, wote ropo ropo, mwenye akili mbowe tu
Mbowe sasa ni mwimba Taarabu na mipasho kawa mzee wa masimango chadema Mbowe imevurugwa , kumbuka mbowe hakuzoea haya ya sasa alizoea kupita bila kupingwa chaguzi zote, sasa wamepelekeshwa na Lisu wamebakia kutapatapa na kuunda vikundi vya uchakachuaji kuiba kura kuidhoofisha kambi ya lisu kuwabambikia kesi akina Slaa
 
Mbowe kaishiwa Sera kilichobaki ni kuwabambikia kesi Slaa kuidhoofisha kambi ya lisu, kuiba kura kupora ushindi wa lisu, zile pesa zote alizoiba chadema kwa miaka 20 chawa wanakula wamepewa majukumu ya kuhakikisha Lisu hawi mwenyekiti kwa gharama yeyote kwani endapo Lisu atakuwa mwenyekiti huenda mbowe akapelekwa gerezani kwa wizi wa pesa za chadema, hivyo watafanya kila njia mbowe aendelee kuwa mwenyekiti mfalume wa milele afiche madudu yake ikiwemo Rushwa ya ngono viti maalum
 
Chawa wa mbowe hawajui kusoma upepo kwani hata kama kungekuwa na deni kweli kipindi hiki mbowe kaiba pesa nyingi za chama walioaswa wakomae na sera kwani huyo wenje ni Dalali hana usafi hata Mbowe aliwahi kutuhumiwa kuuza unga na makonda
 
Back
Top Bottom