WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia,

Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti,

Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo anafanya njama za Mapinduzi na uasi unataka sisi wasikilizaji wako tuamini lipi?

 
Wapambe wa Mbowe walishachanganyikiwa.
Wamepoteana
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbuku aisee halafu siku hizi anaogopwa Mungu6na Teknolojia tu.
 
MImi naona ni vitu viwili tofauti Mapinduzi na kuomba mbowe aachiwe ni vitu viwili tofauti
 
Swali la msingi sana japo Mimi sio CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…