Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia,
Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti,
Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo anafanya njama za Mapinduzi na uasi unataka sisi wasikilizaji wako tuamini lipi?