Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

Kuna Billy Graham zaidi ya miaka 80
David Wilkerson
Prince Philip 99
Queen Elizabeth 96
Reinhard Bonnke 79
Stephen Hawking 70+
Sasa hao watano wa kwanza nao walikuwa magenius?hao wote huwezi kuwaweka kundi moja na Stephen Hawkins amabye IQ yake inasemekana ilikuwa 160,ambapo katika dunia hii ni kama percent 0.0003% ndio wanaweza kuifikia hiyo...?
 
Vipi kwa mtazamo wako nini kinasababisha hali hiyo? Tunapenda kupata mtazamo wako chief
 
Ngoma pana hy wenye hatma kubwa Huwa msaada na ukombozi wa wengi hiyo kitu haipendwi hasa na wale wenye roho za kichawi.
Angalia familia zilizokuwa na mtu Angeweza fanya Mabadiliko makubwa... Asipopigwa magonjwa watamvuruga kama sio kumkata.

Viongozi wa kweli WENGI wao walishakufa kabla ya kufa yaani walishakubali kufa kabla hawajafa.... Ukiona jomba oga la kufa jua kopo hilo.
 

Patrick Balisidya - Wema hawana Maisha.
 

Nyimbo nazipenda sana hizo Paskali.

Chiku wangu weee alale pema peponi Chiku wangu weee daima nitakukumbuka.

Maangaikoooo wemaa hawana maishaa.
 
Sasa hao watano wa kwanza nao walikuwa magenius?hao wote huwezi kuwaweka kundi moja na Stephen Hawkins amabye IQ yake inasemekana ilikuwa 160,ambapo katika dunia hii ni kama percent 0.0003% ndio wanaweza kuifikia hiyo...?
IQ haipimi kuwa na deep understanding ila uwezo wa kuelewa haraka, Hawa watu watano wa apo juu walikuwa na deep understanding kuhusu mambo Yao na wamefanikiwa kufanya makubwa kwenye maisha Yao, wameacha alama.
Genius maana yake unachukua tools zilizopo na unategeneza njia ambayo haikuwahi kuwaza before na mtu yeyote, wale wanaogundua vitu out of nothing wale ni extreme genius.
 
Kuna kitabu kimoja kinaeleza "why the good die young "
 
Lile Shetani la Chato lilikufa kifo kibaya kabisa kwa sababu ya kutumia akili na nguvu nyingi kutaka kututesa na ndo mana liliishi muda mfupi na kisha kufilia zake mbali kizembe kabisa kuwahi kutokea
 
Mwnyi Leo katumiza miaka 98 , anasema hajawahi kutoa rushwa kupata madaraka popote.
 
Ulianza vizuri,umemalizia vibaya.jpm na etc ndo kina nani hao??
 
When mission accomplished you are gone,

Yesu baada ya kufa na kufufuka, duniani angeendelea kuishi isingeleta maana.

Angalizo: Waovu wengi wanaopewa maisha marefu Huwa ni ADHABU walipie Hadi tone la mwisho waliowatendea wengine, anaweza zaa watoto 8, akawazika wa kwanza Hadi wa mwisho ndo afe naye.

Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…