Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

Naongezea

TB Joshua
Dr myres Munroe
Benson idahosa
2pac Shakur
Patrice Lumumba
Lucky dube
Ect
 
Umepigilia msumali. So sisi tuliobakia ni wa kawaida tu. Hata Muhamad naye hakuishi mpaka uzeeni. Huyo Kanumba sijamfahamu.
 
Ni kawaida maana hao wengine wanaishi ilimradi wapo tuu..

Kwenye wingi wa maarifa Kuna maumivu
 
Kwa kweli sijui sababu ni kwa nini watu wema wanakufa mapema!.
p
Watu wema wanakuwa na maadui wenye nguvu. Watu wabaya wanakuwa na maadui dhaifu. But watu wema na wenye akili hufikiri sana na kuumia kwa ajili ya wengine hivyo huathiri bongo zao, mioyo na pia mwili. Watu waovu hujijali wao wenyewe na familia zao. So hawana mzigo mkubwa.
 
Ujumbe umewafikia
 
Kwa hiyo unataka kusema nini kuhusu mzee nanihii na nanihii ?
 
Yule jambazi alikufa kwarohoyake mbaya hakuna namna mungu amchome moto usioisha
 
Kweli kabisa. Angalia marais hapa kwetu. Waliotumia akili nyingi kulikomboa taifa hawapo.
Huu ni mfano hai
Mbona Marais wengi wa Marekani wamefariki kwenye umri mkubwa sana?

Mfano: Ronald Regan alifariki akiwa na umri wa miaka 93, Geoge Bush sen. 94. Jimmy Carter yuko 98 na bado anaishi.

Hiyo kanuni ya mtoa mada si kweli!
 
Mkuu Galileo na Einstein wana 76+ wamekufa mapema?
 
Imebidi nicheke tu πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…