Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

[emoji848]mwinyi
 
NDiyo !! Ukitaka uishi maisha marefu usiguse maslahi ya watu kamwe !! Hata Yesu ISSA bin Mariam alisulibiwa kwa sababu aligusa maslahi ya watu ( makuhani ) na ibilisi .ni hatari sana ukigusa maslahi ya watu in negative way!! Mabeberu huwa wanainyonya Africa kupitia wafrixa ambao siyo wazalendo tena maskini na wenye roho ya kujipenda wenyewe. Wenye akiri na kufikiri sana wanakufa mapema kwa sababu ya stress eg JPM, wengine njama za ibilisi ( sokoine) nK
 
Point ya msingi kwa sasa ni JPM full stop. Hawatulionao wapo kama hawapo mpaka unasahau kama wapo.
 
Malkia alikuwa na uwezo mkubwa wa kiakili, alifanya reformation kubwa sana baada ya kifo cha Baba yake na kuwafanya watu wamwamini tena
Siyo yeye alifanya!

Yeye huwa pale kama picha tu, ila wafanya maamuzi ni wengine.
 
Na wewe unachanganya huyo Yesu Issa Bin Mariamu ndo nani? Leta habari za watu wanaofahamika.
 
Sisi huwa tunaingiza Udini ndo maana unaona hapo tulivyoandika wa dini yetu wote tumewaandika mazuri ila dini yenu ndo tumechagua mabaya. Huwa tunaelekezwa hivyo misikitini. So usimlaumu jamaa maana hata Elimu huwa inakuwa tatizo kwetu.
 
Hili bandiko ni mpambano kati ya "Wema wanakufa mapema" na "Wema hawafi mapema." Mpaka sasa matokeo ni suluhu.

Wengine wanasema Mwinyi anaendelea kuishi kwasababu ni mwema sana, hajawahi kutoa rushwa, nk.
 
Sio kila mwenye akili anakufa kijana. Mandela amekufa akiwa na zaidi ya miaka tisini. Nyerere alifariki akiwa na miaka 77 hakuwa kijana.

Malcolm X na Martin Luther waliuliwa wakiwa vijana sana, chini ya miaka 40 walibeba majukumu mazito na wakawa na uadui na ubeberu tena wakiishi hapo hapo USA nyumbani kwa ubeberu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…