Yupi wa kwetu alitumia akili nyingi kulikomboa taifa? soma historia ya ukombozi wa tanganyika kwanzaKweli kabisa. Angalia marais hapa kwetu. Waliotumia akili nyingi kulikomboa taifa hawapo.
Huu ni mfano hai
mwinyi sasa hivi ana 98Einstein alikufa na miaka 76.
Tesla miaka zaidi ya 80+.
Kila nafsi itauonja umauti.Kweli kabisa. Angalia marais hapa kwetu. Waliotumia akili nyingi kulikomboa taifa hawapo.
Huu ni mfano hai
Exceptions zipo of course.Sio kila mwenye akili anakufa kijana. Mandela amekufa akiwa na zaidi ya miaka tisini. Nyerere alifariki akiwa na miaka 77 hakuwa kijana.
Malcolm X na Martin Luther waliuliwa wakiwa vijana sana, chini ya miaka 40 walibeba majukumu mazito na wakawa na uadui na ubeberu tena wakiishi hapo hapo USA nyumbani kwa ubeberu wenyewe.
Huu ndio uchawa wenyewe, mnasahau kuwa Samia na JPM wote wawili ni wana CCM wenye kutekeleza sera za chama hicho.Hospitali zimejengwa na Mh Samia au JPM ? Ebu kuwa mkweli aisee.SGR ,Bwawa la Nyerere,vivuko,Barbara vimejengwa na Mh Rais Samia? Kuwa mkweli aisee. Ndege Zote zile zimenunuliwa na mama Samia? Siyo kwamba nampinga Samia lakini wema wa JPM lazima usemwe hata kama alikuwa msukuma mshamba!! Tabia mbaya ambayo sipendi kwa wasukumu ni kujipendekeza na kupenda misifa. Lakini pia sidhani kama kifo Cha JPM ni natural death.
Rest Easy Chuma JPM!Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao
Hakika kabisa !!Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.
Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.
Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.
Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.
Kabisa kabisa !!Hii ni KWELI.
Watu wenye HATMA KUBWA huwa WANATIKISWA KWELI KWELI.
You nailed it !!Watu wema wanakuwa na maadui wenye nguvu. Watu wabaya wanakuwa na maadui dhaifu. But watu wema na wenye akili hufikiri sana na kuumia kwa ajili ya wengine hivyo huathiri bongo zao, mioyo na pia mwili. Watu waovu hujijali wao wenyewe na familia zao. So hawana mzigo mkubwa.
mbonw JIZI LA MSOGA halifi? [emoji16]Kila nafsi itauonja umauti.
Hapo mwenye akili nyingi labda mmoja tu. Wengine hao ni walewale tu.Kuna Billy Graham zaidi ya miaka 80
David Wilkerson
Prince Philip 99
Queen Elizabeth 96
Reinhard Bonnke 79
Stephen Hawking 70+
Angalia kaburi la mzazi wako hapo pembeni lipoNa ana afya tele. Hajui kununanuna kama lile shetani lenu tulilolifukia Chato. Lile Jitu na nyie wafuasi wake mlitamani sana kifo cha JK ila hamkujua tu "watu wemw hawafi"
When mission accomplished you are gone,
Yesu baada ya kufa na kufufuka, duniani angeendelea kuishi isingeleta maana.
Angalizo: Waovu wengi wanaopewa maisha marefu Huwa ni ADHABU walipie Hadi tone la mwisho waliowatendea wengine, anaweza zaa watoto 8, akawazika wa kwanza Hadi wa mwisho ndo afe naye.
Malipo ni hapa hapa Duniani.
Unataka kumaanisha kuwa rais wa kwanza, watatu na wa tano walikuwa wanatumia akili sana? Wee vipi?Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.
Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.
Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.
Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.
Si umeona KAMA akina nape wovyonenepeana mkuu yaani wizara anayoisimamia hata mtoto wa form 2c anaweza tena kwa ufanisi mkubwa sanaWatu wema wanakuwa na maadui wenye nguvu. Watu wabaya wanakuwa na maadui dhaifu. But watu wema na wenye akili hufikiri sana na kuumia kwa ajili ya wengine hivyo huathiri bongo zao, mioyo na pia mwili. Watu waovu hujijali wao wenyewe na familia zao. So hawana mzigo mkubwa.
Umemaliza mjadalaEinstein alikufa na miaka 76.
Tesla miaka zaidi ya 80+.
Nyerere na Mkapa walikufa wakiwa siyo marais bali wastaafu. Magufuli ndiye alikufa akiwa Rais lakini hakuwa na akili. Bali alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.Kweli kabisa. Angalia marais hapa kwetu. Waliotumia akili nyingi kulikomboa taifa hawapo.
Huu ni mfano hai