Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

Mimi kunipeleka porini..
Eneo kama ekari tano..

Unahitaji kuwa na pesa..

Kwanza ni kufunga solar, na kuchimba kisima cha maji..

Kujenga nyumba kubwa imara kuanzia milango na madirisha..

Kufuga mifugo kama mbuzi, ng'ombe, kuku, n.k..

Kufuga mbwa wakubwa kwa ajili ya ulinzi..

kumiliki silaha , shotgun inafaa zaidi..

Kulima mazao ya nafaka , bustani ya matunda na mboga mboga...

Tractor..

Gari ambalo ni offroad..

wasaidizi wachache kwa ajili ya mifugo na shamba..

Hapo hata katikati ya pori nene naishi.. bila wasi..
 
Una malengo mazuri, sasa pambana ili uyatekeleze.
 
Hivi hasa ndio inatakaiwa, utaishi maisha safi kabisa. Pesa iwepo tu, sio kwenda pembeni ya mji hata mia ni changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ