Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

Unaweza ukawa na makazi yako nje ya mji, huku ukiwa na vijana(wafanyakazi) wako watano wanaopambana mjini kama machinga, wauza kahawa n.k
 
Hizo picha ni nchi zilizostarabika.kwa Tanzania ukijitenga porini peke yako utafuatwa na watekaji wakupole mali zako
Watachokifanya ni kutangaza viwanja vya 20x20 kwenye TAUSI baada ya miaka mitano mtaa mzima utajaa vijumba vya vyuma viwili na choo cha ndani.
Kisha watachonga barabara za vumbi ikifika masika vinageuka kuwa mifereji ya maji machafu.

DAWASA wataleta vibomba vya maji yanatoka mara moja kwa mwezi saa nane usiku.
 
Never not me..! Afadhali tunguli kuliko hao killer beasts! Walimuua mzee Kingunge wakati ndio boss wao🙌🏿🙌🏿🏃🏿
... mimi nawapenda sana, hasa aina hiyo ya Dobermann pinscher! ... ila nahofia wanafamilia wangu, maana hao mbwa wana tabia ya kutaka kumlinda anayewalisha tu!, ndio maana yakamkuta ya kumkuta Hayati Kingunge!
 
Unaweza ukaishi mjini kipindi cha kazi, wkend unaendea nje ya mji kwenye makazi yako.
 
Alitakiwa aandae usafiri, yapo magari ya kukodi.
 
Popote inawezekana, muhimu ni ukubwa wa eno utakao kupa utulivu.
 
... mimi nawapenda sana, hasa aina hiyo ya Dobermann pinscher! ... ila nahofia wanafamilia wangu, maana hao mbwa wana tabia ya kutaka kumlinda anayewalisha tu!, ndio maana yakamkuta ya kumkuta Hayati Kingunge!
Ndo hakikisha ukiwafuga kila mtu awe na zamu ya kulisha, mi mifugo inanipenda maana sipendi kuwaona wakiteseka kisa njaa
 
Watoto wako wanakuwa na mwalimu mmoja sio mara anasikia mafunzo kutoka Kwa walevi mara bodaboda na hata magonjwa ya mlipuko mpaka yakufikie hukoo sio Leo.Nikistaafu nayataka hayo maisha.
Oiii.
Haya maisha ni mazuri sana; ila ukishaondoka (kufa) kwa utakaowaacha sijui kama wataweza kuyaishi hayo maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…