mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 2,966
- 2,634
Umenikumbusha Jana mwanangu alikua anaangalia cartoon ambayo haiongei kingereza.Na Hamna subtitles.Nilicheka eti ananitafsiria kwa kingereza namuuliza umejuaje ushawahi kuona ya kingereza,ndo kunijibu ndio.Watoto wana akili, ni kiwa train tu kwamba baba anapenda mpira. Basi wanajua kabisa anakuuliza baba kesho kuna mpira?, saa ngapi? Unamwambia ndio saa 3 usiku simba inacheza. Ratiba za baba zinajulikana mbona.
Basi atakuwa huru, mpaka ikifika muda huo hata hashangai kuona umeweka mpira.
Kuna muda inabidi uwe flexible uangalie nao hicho hocho wanachoangalia kwa kuwasapot tu huku unaulizia kabisa imekuwaje pale? Mtoto anakupa ufafanuzi fresh tu. Ni njia nzuri ya kutenga muda kuwa nao hata kama utakuwa biz na simu na laptop.