Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

SAFARI CHANNEL Ile ni unyama sana.. Napenda sana wanyama

1. Nampenda sana NGIRI,
2. Na baadhi ya ndege hasa flamengo
Sasa watangazaji wa safari ni wale wale wa TBC mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kwanini watu hawaipendi channel ya taifa huo sio uzalendo mkui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwa dingi wa kiafrika unatakiwa uweke chanel ambayo nyumba nzima hawapendi alafu we mwenyewe huangalii unasinzia ila wakibadilisha tu chanel unashtuka usingizi unaisha halafu unawaambia rudisha haraka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa watangazaji wa safari ni wale wale wa TBC mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kwanini watu hawaipendi channel ya taifa huo sio uzalendo mkui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Shida ni Kwamba

. Nyumba ya zamani hata uikarabati vipi haiwezi kuonekana mpya,

. Safari Channell, ipo automatically mkuu, kama ni wanyama ni wanyama hawawezi kuweka mengine.... Nina imani kabisa ile kazi hata ukipewa wewe unaweza, cha mhimu tu uwe na camera, drone, na maneno mchache.

Mwendazake aliifufua aliifufua lakini wapi!
 
Hawa ni wababa wa enzi za ukoloni. Ni washamba na wanavaa MAYENU.

Kwanini usiwaache watoto wakaangalia katuni zao wewe uende chumbani ukasali hata rozari?

Watoto hawana raha, libaba linabadilisha tu chaneli! Khaaa!!!

Hili nalo mkalitazame!

cc Lamomy cocastic fundi bishoo Extrovert
Wizo ww watoto wako unawaachia 🀣🀣🀣
 
Ukiwa dingi wa kiafrika unatakiwa uweke chanel ambayo nyumba nzima hawapendi alafu we mwenyewe huangalii unasinzia ila wakibadilisha tu chanel unashtuka usingizi unaisha halafu unawaambia rudisha haraka.
🀣🀣🀣🀣 roho mbaya hiyo
 
Mtoto na TV wapi na wapi!
Angalau kwa Wiki mtoto aangalie TV mara moja.
Akifikisha miaka 14 angalau muongezee muda.
Mkuu nimesoma Coment zote na nimegundua kuwa kumbe tatizo sio watoto wa siku hizi bali ni wazazi wa siku hizi waliojaa upumbavu vichwani mwao kwa kudhani ni uzungu na usasa.
Kiufupi nchi hii ina janga kubwa sana la malezi.
 
Siku zote watoto hawanaga tatizo. Shida ni wazazi
 
Mtoto na TV wapi na wapi!
Angalau kwa Wiki mtoto aangalie TV mara moja.
Akifikisha miaka 14 angalau muongezee muda.
Mzazi unashinda kazini, watoto wanarudi mapema kutoka shule.... TV marufuku kuwasha?

Kipindi cha likizo wanashinda nyumbani, hapo vipi?

Saa nyingine sio watoto wa shule tu, unaweza kuwa na familia kubwa wakiwemo wageni mbali mbali wanaoshinda nyumbani.
 
Nikishakubali matokeo kuwa kwangu Tv ya sebuleni sio mali yangu.

Nashukuru Mungu niliweka TV chumbani. Ninachotaka kuangalia nakiangalia chumbani kwangu. Huko sebuleni ni Nickelodeon na Cartoon Network.

Ningeweza kutumia ubabe wa ubaba lakini sioni faida yake. Ikiwa nipo hai acha wanangu wa enjoy nyumbani kwa baba yao.
Wee ndio baba bora.
 
Hawa ni wababa wa enzi za ukoloni. Ni washamba na wanavaa MAYENU.

Kwanini usiwaache watoto wakaangalia katuni zao wewe uende chumbani ukasali hata rozari?

Watoto hawana raha, libaba linabadilisha tu chaneli! Khaaa!!!

Hili nalo mkalitazame!

cc Lamomy cocastic fundi bishoo Extrovert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza baba muda wa kutazama TV sebuleni anapata wapiii? Achilia kupora remote na kubadili channel. Uwiiiiiih
 
Unawaandaa hao wakina junior kuwa upinde wa baadae,,, kwangu ni marufuku kuwasha tv wakati hakuna taarifa ya habari na wakishaangalia taarifa ya habari inabidi wanisimulie na nikirudi jioni nawabebea magazeti wayasome na wanisimulie walichokielewa
Ndo ukifanya hivyo bas hawatakua upinde? Wee umevurugwa? Nawee ni baba wa familia kww akili hizi?
 
Watoto saa mbili wanatazama katuni ili wagundue nini, saa mbili wanatakiwa walale usingizi mzito kabisa. Na mama hizo tamthiria zake anatakiwa atazame marudio au usiku. Mwanaume ununue tv yako halafu usiifaidi?
Mimi Huwa nawaambia wajikaze nao waje wanunue za kwao. Chaneli zote zenye tamthilia nimefuta.
 
Watoto wana akili, ni kiwa train tu kwamba baba anapenda mpira. Basi wanajua kabisa anakuuliza baba kesho kuna mpira?, saa ngapi? Unamwambia ndio saa 3 usiku simba inacheza. Ratiba za baba zinajulikana mbona.

Basi atakuwa huru, mpaka ikifika muda huo hata hashangai kuona umeweka mpira.

Kuna muda inabidi uwe flexible uangalie nao hicho hocho wanachoangalia kwa kuwasapot tu huku unaulizia kabisa imekuwaje pale? Mtoto anakupa ufafanuzi fresh tu. Ni njia nzuri ya kutenga muda kuwa nao hata kama utakuwa biz na simu na laptop.
 
Mimi tv hata sio mpenzi wa kuangalia, ni mtandaoni tu. Huwa wanakuwa huru ila wanajua uhuru wao unapoishia na wanalindana wenyewe.
 
Back
Top Bottom