Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Unawaandaa hao wakina junior kuwa upinde wa baadae,,, kwangu ni marufuku kuwasha tv wakati hakuna taarifa ya habari na wakishaangalia taarifa ya habari inabidi wanisimulie na nikirudi jioni nawabebea magazeti wayasome na wanisimulie walichokielewaNikishakubali matokeo kuwa kwangu Tv ya sebuleni sio mali yangu.
Nashukuru Mungu niliweka TV chumbani. Ninachotaka kuangalia nakiangalia chumbani kwangu. Huko sebuleni ni Nickelodeon na Cartoon Network.
Ningeweza kutumia ubabe wa ubaba lakini sioni faida yake. Ikiwa nipo hai acha wanangu wa enjoy nyumbani kwa baba yao.