BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Ushamba tu. Watoto watakuchukia bure.Baba kama Baba ukifika ndani watoto rimoti wanapaswa wakukabidhi wewe
Unaangalia unachokitaka hiyo ndo maana ya mtawala
Shida uzungu unawasumbua
Ukiwa haupo tv ni yao ila ukifika tv ni ya kwako
Kwanza jitu zima unaangalia tv ya nini? Kama ni mpira kaangalie vibandani na wenzako!
Waache watoto wajimwaye mwaye waangalie tv wanavyotaka!