DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
NHIF imekuwa bima ya Kisiasa sana, yaani hujuma, ubinafsi, ufisadi yote yapo kwenye mfuko huu. Kama ilivyo mifuko ya hifadhi ya jamii. Hapa tunajua mchawi ni nani.
 
Kwa kweli tuombe Mungu atusaidie hawa Private hospitals na NHIF wafikie muafaka

Wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF wanataabika sana

Mungu wa Mbinguni utusaidie!
si ukalipie tena kama ni bima imeisha πŸ’
na ndio utaratibu πŸ’
 
Kwa kweli tuombe Mungu atusaidie hawa Private hospitals na NHIF wafikie muafaka

Wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF wanataabika sana

Mungu wa Mbinguni utusaidie!
Saa mia moja mbovu kanunua saa za thamani ya bil1 tsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…