DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
NHIF imekuwa bima ya Kisiasa sana, yaani hujuma, ubinafsi, ufisadi yote yapo kwenye mfuko huu. Kama ilivyo mifuko ya hifadhi ya jamii. Hapa tunajua mchawi ni nani.
 
Siyo wote wanatumia huo mtandao.
Weka hapa au eleza kwa kifupi tangazo limetolewa na Nani na linasemaje.
IMG-20240228-WA0065.jpg
 
Back
Top Bottom