DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aisee,
Mambo.haya yangekuwa yanawagusa na wao moja kwa moja wangeyafanyia kazi kwa haraka sana...... cha kufurahisha, wote wanaojadili haya, hawatumii NHIF, wao wanatumia Private na Premium packages.. so wakati hawa wanaweka mgomo sisi tunaendelea kudhoofishwa na maradhi.
 
Wewe utakuwa Chawa
 
Kwa hiyo sisi Waafrika tunaweza nini sasa, hata haya mambo ya bima tunashindwa kutengeneza sera na utaratibu unaokubalika kwa wadau wote, We cant solve our own problems and challenges.Mara kuna bima kwa wote, mara NHIF inakataliwa n.k.
Kwenye vitu physical kama miundo mbinu tumeshindwa na haya mambo ya policy tu, soft issues tunashindwa, shame on us
 
Wasiokuwa na akili kichwani hawawezi kukuelewa na watakutafsiri wewe ni mkatili kumbe ukweli ni kwamba hawa watu walishafeli kitambo, hakuna Jambo lolote lile wanaloliweza.
 
Mungu akusamehe bure, hili siyo kosa lako, hapa ndio malengo ya CCM yametimia kuzalisha idadi ya raia wajinga na wapumbavu Kwa wingi kama wewe.
 
Kwa kweli tuombe Mungu atusaidie hawa Private hospitals na NHIF wafikie muafaka

Wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF wanataabika sana

Mungu wa Mbinguni utusaidie!
Unaona CCM mlivyokosa akili kichwani? Swala la utashi wa binadamu mnamuingiza Mungu? Mungu anahusika Vipi hapo na ujinga wenu na roho mbaya zenu?

Ipigwe marufuku kabisa viongozi kutibiwa nje ya nchi ndio watajuwa thamani ya huduma za afya.
 
Aiseee mbona kimeumana. Sasa hapo ni either cash au ndio kama ni mwanachama wa nssf utumie bima yake. Wao wanatumia bima za strategies huko nyie wenye nhif mpambane na hali zenu.
 
Tatizo ni hivyo vihospitali binafsi hao wengine wanalazimishwa tu na huenda wanatishiwa kama watakubaliana na NHIF.
 
Aiseee mbona kimeumana. Sasa hapo ni either cash au ndio kama ni mwanachama wa nssf utumie bima yake. Wao wanatumia bima za strategies huko nyie wenye nhif mpambane na hali zenu.
Kuna taasisi walishaonaga hawa NHIF ni wapuuzi, rafiki yangu mke wake ni banker insurance yao wanatumia hiyo Strategies, sasa hivi ni mgonjwa kalazwa Agha khan huduma za viwango vya London.

Hilo liNHIF Agha Khan alipokelewi, labda kwenye vile viextention vya Agha khan polyclinic.
 
Strategies ni bonge la bima. Halafu nhif nao wana bima tofauti. Wanayo bima ya viwango hiyo unatibiwa hata aghakhan ila kina najali sijui wezesha hizo zinakua na limits kuna magonjwa hutibiwi.
 
Bima za Mchongo
 
Nadhani tungeangalia Kwanza Manufaa ya ya Maboresho haya kabla ya kuingia kwenye lawama na Migogoro.
Em kuwa serious basi..
Manufaa ya maboresho gani wakati unaambiwa kadi za NHIF hazitapokelewa hospitali zote za binafsi kuanzia kesho
(1 March, 2024)?!!
 
Mbona kuna hospitali nyingi tu za binafsi hasa za Wahindi huwa hazipokei wagonjwa wenye Bima za afya za NHiF tangu zamani?
Nahisi Wahindi walishaweka wizara husika mfukoni mwao
Hao wanaokataa na wafanye kama hao wahindi sijui kelele za nini kwanza kila hospital inaingia mkataba kivyake na NHIF kwahiyo anayetaka kufanya kazi na NHIF afanye anayekataa akatae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…