Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Kimsingi mzee baba wewee sio mchimbaji..wewe ni dalali tu huko..tena dalali wa kuhamasisha matajiri waje muwapige hela zao.

Jibu maswali ya mwamba kwa ufasaha acha kukwepa kwepa...kama hujui sema tu unaogopa nini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Majibu yake bado hayatoshi,anaelekea si mzoefu kwenye sekta
Yeah... Kifupi maelezo yake hayajatimia kbs pengine ni safari anazokunywa labda zikiisha kichwani ataongea kitu cha kueleweka lakn mpaka hapo namuona si mchimbaji japo yote yanawezekana
 
Yeah... Kifupi maelezo yake hayajatimia kbs pengine ni safari anazokunywa labda zikiisha kichwani ataongea kitu cha kueleweka lakn mpaka hapo namuona si mchimbaji japo yote yanawezekana
Haaahaa duh hatari sasa msichokielewa ni kipi kumbe mnauliza maswali majibu mnayo
 
Asipojibu swali hili kwa ufasaha atajidhihirisha ni mpigaji
 
Kimsingi mzee baba wewee sio mchimbaji..wewe ni dalali tu huko..tena dalali wa kuhamasisha matajiri waje muwapige hela zao.

Jibu maswali ya mwamba kwa ufasaha acha kukwepa kwepa...kama hujui sema tu unaogopa nini.

#MaendeleoHayanaChama
Ungekuwa. Karibu ningekutia likibao na hizi pombe ungependa
 
Asipojibu swali hili kwa ufasaha atajidhihirisha ni mpigaji
Mkuu nijibi vipi muelewa labda ungetoa mfano mana nimejibu weee mpaka nimekonda sijui uelewa mdogo au mnajitoa ufahamu mana tukitoa maelezo marefu sana mtasema unatoa gugo nikiwaambia kifup maelezo hayatoshi
 
Fanya basi kujibu maswali yote aliyouliza vidmate ili tukikucheki pm maswali yasiwe mengi mengi
[/QUOTE]Uliza ww nitakujibu mana una hekima yule mwenzako v yupo kwaajili ya kutafuta makosa kama wale mafalisayo kwa yesu sasa mm mtu nikikujua upo wa hivyo lazima tuzinguane karibu mkuu nitakujibu
 
Ngoja tupambanie bomba la mafuta huku maana IYUU wanatuletea utani tutakuja .....
 
Purity % ya dhahabu ya huko ni ngapi? sitaki kuwa mdhamini nataka ninunue dhahabu
 
Yap Mkuu nazan ushawishi kuja dar pori
Dar Porini watu wanapiga Pesa ila sijui kama ni level hizo Kwa siku. Kesho nitauliza wadau hapo Songea.

Mwaka 2020 nilitaka Kuja hayo Maeneo kufanya mishe Fulani, kitendea kazi kikatuangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…