Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.