Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Naona muuaji umekuja jitetea, acha sindano ikuingie
 
Ibara ya 18 inataka wewe kupewa ushahidi au kutoa maoni? ukizingatia wewe umekuwa mtetezi wa majambazi kina Sabaya na sasa Bashite. tuambie kwanza umeridhika na ishahidi wa kulifunga gaidi Sabaya?
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.

Sabaya sio gaidi. Kumbuka pia sio wote wanaokuwa gerezani ni magaidi.
 
HUYU MTU SERIKALI INA KILA KITU IKAAMUA TU KUMPELEKA MAHAKAMANI WATAMNYONGA.
NA NI SUALA LA MUDA TU BASHITE HANA MAISHA MAREFU KWENYE POLITICAL EXPERIENCE....
Tatzo la Bashite anajifanya ana Siri nyingi za serikali anatishia tishia nazo. Awamu ni Ile ya upepo utapita Tu hivyo ata asemeje hawaogopi sana Sana watamkausha Tu mate.

Na very soon anapanda kizimbani so kaanza saka public simpathy. Kuna mtu anaitwa Lwajabe familia yake bado mpk Leo ina masononeko
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.


Huyo Makonda si ndiye bila adabu na aibu aliyemkwida shati Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba?!! 🤣

Loo, Jamaa ana vituko na roho ngumu kweli kweli!!.
 
Hayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
Kwenye video ya clauds inaonesha makonda aliingia na walinzi wake wakiwa wamebeba bunduki ,je ni makosa kisheria kuingia clauds na bunduki!?
 
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.

Sabaya sio gaidi. Kumbuka pia sio wote wanaokuwa gerezani ni magaidi.
sabaya sio gaidi ni jambazi
 
jamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
aise kuna watu wabishi, hivi hata video za Bashite akitukana na kutisha watu hadharani jamaa hajaziona. Magari ya kifari yaliyokua na plate namba na usajiri wa wafanyabiashara kisha yakaonekana yanaendeshwa na Bashite kisha ghafla yakabadilishwa plate number pia jamaa atabisha Bashite hakudhulumu watu. Kwa mshahara wa mkuu wa mkoa ananunua vipi magari 7 ya kuanzia million 500 kila gari ?!! Ebo !!
 
Ubalozi ww marekani wanasukuma ajenda yao kidiplomasia, kupitia taasisi za kidiplomasia, na wanawapa ushahidi jinsi Makonda alivyodhulumu haki ya kuishi (kaua), mama anawekewa ushahidi mezani, na Kila siku wanaulizia hatua zilizochukuliwa.

Bado mambo mengi yasiyo na idadi. Nina imani Ofisi ya uhasibu ya mkuu wa Mkoa ikipekenyuliwa, hachomoki, akifanyiwa life style audit, hachomoki, akifanyiwa audit ya Mali vs mshahara, hachomoki
Ukifanya independent audit ofisi ya makamu wa Rais kwa mwaka 2019-2020 utakosa lolote.

Haya maswala ya kuchaguana na kushambuliana yana madhara yake huko mbeleni.
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Samahani mkuu ila we jamaa una ubishi wa kijinga, hata alivyovamia clouds anasingiziwa sio ?!
 
Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Huyu sukuma gang hawezi kukujibu hili.
Hivi yeye alikuwa kuzimu na ndio amerudi leo na hajui uchafu wa huyu mshenzi?
 
Acha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
We Ni mataQo, we upewe Ushaidi we Kama Nani binti?????
We mwanzo simlikuwa mnasema hakuna Ushaidi wakumfunga Sabaya?! Kwa taarifa yako Jamuhuri Ina Ushaidi wote wa jinai za makonda, Hadi Ushaidi wa wewe bottom wake
 
Sikujua kama JF kuna vilaza ambao hawajui sheria walau kidogo. Mnaambiwa mtoe ushahidi dhidi ya tuhuma zake za kumshambulia Tundu Lissu ila mnasema anamiliki magari kuliko mshahara, alivamia Clouds, alitukana watu. Ukivamia Clouds risasi zinajifyatua kwenye bunduki kutoka Dar kwenda Dodoma kumshambulia mtu?

Sasa mashtaka yataenda na ushahidi nyanya kama huu. Hata Lissu mwenyewe sio kiazi anajua sheria hakuna kesi inaenda hivi. Wanaosema kahusika watoe ushahidi then ushahidi ukiwepo yeyote yule anaweza fungua kesi
 
we Tahila kweli,uletewe Ushaidi we Ni prosecutor?! Na kwa jambazi Sabaya mlimtetea hivyohivyo, mwishoe akaenda jela, yaani wafuasi wa Magufuli aliwapandikiza mentality yakupenda viongozi wahalifu
Kwani Sabaya kufungwa ndio sababu kuwa alitenda kosa? Kuthibitishiwa kuwa Makonda alifanya uhalifu mpaka niwe prosecutor? Mbona watu kibao wanaonyeshwa walivyofanya makosa kupitia JF?
 
Back
Top Bottom