Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Acha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
Naanza kufikiri kuwa wewe ndio Bashite. Hasa kwa ujinga ulionao, ona hata waliokuwa washabiki wako wanamwaga upupu hadharani
malisa_gj-___CcRG4fisg7E___-1.jpg
malisa_gj-___CcRG4fisg7E___-2.jpg
 
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa sio kosa kutembea na askari
duh kweli wewe ni kilaza na sioni haja ya wewe kujibiwa
saa sita usiku unafanya nn kwenye ofisi ya watu na mabunduki?
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.

Bila shaka wewe si polisi wala mahakama na ndiyo maana hutaki ushahidi wowote.

Kwamba?

"Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa."

Ukiwa na maana shahidi awe Makonda mwenyewe au mshirika wake wa ndani tu!

Kazi kweli kweli.
 
Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.

Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?

Viva ngoshas.

Narudi usafani
Tatizo la mangosha wanatumia nguvu nyingi kuliko akili mwisho wanaangukia pua

Huyo jiwe yuko wapi sasa kakutana na watoto wa njini
 
Kwani Sabaya kufungwa ndio sababu kuwa alitenda kosa? Kuthibitishiwa kuwa Makonda alifanya uhalifu mpaka niwe prosecutor? Mbona watu kibao wanaonyeshwa walivyofanya makosa kupitia JF?
wewe Ni kimada wa makonda,kwahiyo usilazimishe Ushaidi uwekwe humu ili mkauharibu wewe na bwana wako,

Kwahiyo mtu atatiwa hatiani bila kukutwa na hatia ya kutenda jinai?! nenda Basi mkamkatie rufaa Jambazi mwenzenu Sabaya,

Yaani dikteta aliwapandikiza mentality ya kutetea wahalifu, chini ya Samia huo upuuzi hamna
 
Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.

Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?

Viva ngoshas.

Narudi usafani
Kuna Ngosha mmoja aliivimbia Covid19,akaiwekea ugoko, Covid19 ikambeba mazima, Kwisha habari yake!
 
Ubalozi ww marekani wanasukuma ajenda yao kidiplomasia, kupitia taasisi za kidiplomasia, na wanawapa ushahidi jinsi Makonda alivyodhulumu haki ya kuishi (kaua), mama anawekewa ushahidi mezani, na Kila siku wanaulizia hatua zilizochukuliwa.

Bado mambo mengi yasiyo na idadi. Nina imani Ofisi ya uhasibu ya mkuu wa Mkoa ikipekenyuliwa, hachomoki, akifanyiwa life style audit, hachomoki, akifanyiwa audit ya Mali vs mshahara, hachomoki
Endelea kuota
 
Sikia Mkuu kama yeye mhusika nae kalalamika kua anataka kuuliwa kaambiwa aende Polis akaripoti kashindwa halaf wewe nae unakuja kukaza shingo hapa watu wakupe vielelezo vya kwamba alihusika kwenye hayo matukio we muulize yeye tu kwanza uko wapi ushahidi wa yeye kutaka kuuliwa.. au na yeye anafanya hizohizo Sarakasi kama za wale wanao msema kua alikua Mtesi wao.
 
Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
na kwa kumkumbusha tu mtoa hoja ni kwamba hadi LEO hii ubalozi wa Marekani haujawahi kukanusha kauli hii, na bado mtuhumiwa hawezi kuingia Marekani.

Huyu ni mtuhumiwa wetu.
 
we nae Ni mlevi wa gongo bibie, Sasa Ushaidi ukishahanikwa humu, lengo na Nia yenu muharibu Ushaidi wa huyo bwana wenu?! Ushaidi unatolewa Court...
Sasa kinachoshindikana ni nini si ushahidi ufike mahakamani. Kelele za nini kama hakuna mwenye nia ya kufungua mashtaka.

Kesi za Sabaya za ujambazi zilijulikana na uhusika wake kwenye wizi ulikuwepo, mahakamani walipeleka ushahidi wa CCTV footage baada ya kesi kufunguliwa. Hapa kwa Makonda hawasemi alihusika vipi, alituma watu au alitoa amri au alifanya nini. Na bado kesi hawataki kufungua
 
Back
Top Bottom