Simba wa YudaHayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wa YudaHayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
Naanza kufikiri kuwa wewe ndio Bashite. Hasa kwa ujinga ulionao, ona hata waliokuwa washabiki wako wanamwaga upupu hadharaniAcha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
wakati unashupalia kesi ya ugaidi ya Mbowe ulileta ushahidi?Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT inahusu.Naomba uhoji kwanza waliotoa cctv camera kwenye makazi ya Lissu siku moja baada ya kupigwa risasi. Ndipo nijue ww unadhamira nzuri ya hichounachomtetea makonda
duh kweli wewe ni kilaza na sioni haja ya wewe kujibiwaMkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa sio kosa kutembea na askari
muache kutetea majambazi wapuuzi nyie!!
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Tatizo la mangosha wanatumia nguvu nyingi kuliko akili mwisho wanaangukia puaMakonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.
Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?
Viva ngoshas.
Narudi usafani
wewe Ni kimada wa makonda,kwahiyo usilazimishe Ushaidi uwekwe humu ili mkauharibu wewe na bwana wako,Kwani Sabaya kufungwa ndio sababu kuwa alitenda kosa? Kuthibitishiwa kuwa Makonda alifanya uhalifu mpaka niwe prosecutor? Mbona watu kibao wanaonyeshwa walivyofanya makosa kupitia JF?
Fisi mbona umeua mtu!!!Vijana wa Gambosh aka Wasukuma hovyo. Nenda kafukue shimo la Shetani Magufuli utapata ushahidi. Kisu kimegusa mfupa. Bhumbavu sana Idigunde.
Kuna Ngosha mmoja aliivimbia Covid19,akaiwekea ugoko, Covid19 ikambeba mazima, Kwisha habari yake!Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.
Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?
Viva ngoshas.
Narudi usafani
Anajidai hajui!Raia wewe kumbe ujui mashambulizi ya Dodoma dhidi ya Lissu CCTV ziling'olewa maeneo ya tukio.?
Subiri msemaji wa Kondaboy,wadau wanakuja Sasa hivi🤭Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito...
Endelea kuotaUbalozi ww marekani wanasukuma ajenda yao kidiplomasia, kupitia taasisi za kidiplomasia, na wanawapa ushahidi jinsi Makonda alivyodhulumu haki ya kuishi (kaua), mama anawekewa ushahidi mezani, na Kila siku wanaulizia hatua zilizochukuliwa.
Bado mambo mengi yasiyo na idadi. Nina imani Ofisi ya uhasibu ya mkuu wa Mkoa ikipekenyuliwa, hachomoki, akifanyiwa life style audit, hachomoki, akifanyiwa audit ya Mali vs mshahara, hachomoki
Jamaa yako anaenda stoo muda si mrefu, presha kubwa inamsonga yeye, kwa mapatano yanayoendelea Sasa, lazima ataenda ndaniEndelea kuota
na kwa kumkumbusha tu mtoa hoja ni kwamba hadi LEO hii ubalozi wa Marekani haujawahi kukanusha kauli hii, na bado mtuhumiwa hawezi kuingia Marekani.Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Case closedAnza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Sasa kinachoshindikana ni nini si ushahidi ufike mahakamani. Kelele za nini kama hakuna mwenye nia ya kufungua mashtaka.we nae Ni mlevi wa gongo bibie, Sasa Ushaidi ukishahanikwa humu, lengo na Nia yenu muharibu Ushaidi wa huyo bwana wenu?! Ushaidi unatolewa Court...