Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Sukuma gang mnapambana sana, zama zenu zimeisha, mkae kwa kutulia.
 
Kama raia wa Tz nahitaji kupata ukweli. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba JMT.
Nenda ubalozi wa Marekani watakupa ushahidi,
Unaogopa utabaki mjane?
Fanya kazi mtegemee MUNGU

ukimtegemea mtu siku akifa au kufungwa utabaki unahangaika Kama hivi.
 
Tundu ni tundu hata ukiliita tobo bado ni tundu, sasa kazikwenu watanzania mkiliita Tundu sawa mkiliita Tobo pia sawa, Mbuyu na mkaangaji yupi huliwa?[emoji4][emoji4]
 
Unataka ushahidi uwekwe hapa kwani hapa ni mahakamani.muda ukifika utatolewa mahali husika sio kwajinsi unavyotaka wewe.acha mihemko.
 
Sukuma Gang msishindane na wakati
Wakati wenu umepitaaaa
 
Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Kwa hiyo balozi wa marekani ndi mungu wako au mume wako unaetaka watu wamuamini?
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
We kummmamko akipelekwa kwa pilato mnazuia! watu wakisema nako shida! Ngojeeni tumle kiboga na kichwa ndio mpate akili!
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...

Uliwahi kumsikia hata siku moja Akikanusha habari hiyo?
 
Binafsi namkubali Sana makonda maswala ya vyet cjui nn kwangu sio issues Ila kama ni kweli aliwah teka mtu bas achukuliwe hatua,
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Argue sensibly and logically.

Unajua utofauti wa tuhuma na ushahidi? Makonda anatuhumiwa kuhusika kwenye utekaji, mauaji, upotezaji watu, kubambikia watu kesi na uporaji wa pesa na mali za watu kupitia cheo chake.

Kuna mazingira ya wazi yanayofanya atuhumiwe hivyo. Wananchi wengi kadhaa wanamtuhumu. Vyombo vya usalama vinamtuhumu. Marekani nayo inamtuhumu kwa kuwanyima watu haki ya kuishi.

Wenye jukumu la kufanyia kazi tuhuma wanajulikana. Wewe unasema walete ushahidi hapa. Wewe unataka walete ushahidi hapa, unataka ufanye nao nini? Au wewe ndiye Makonda mwenyewe, unataka uanze kuandaa defence?

Serikali itakapokuwa na dhamira njema ya kutaka waathirika watendewe haki, ushahidi utapatikana mahakamani. Kwani ushahidi wa Sabaya uliletwa hapa? Tuhuma dhidi ya Sabaya zilikuwa nyingi. Wapo watu waliokuwa wakikejeli, alipopelekwa mahakamani, ushahidi umepatikana au haukupatikana?

Ushahidi dhidi ya Makonda utakuwa mwingi kuliko hata dhidi ya Sabaya. Na Makonda, kwa uhakika ni mhalifu maradufu ya Sabaya. Ndiyo maana hata Sabaya alipokuwa akipora pesa za watu, alikuwa akitamka wazi, "hii inaitwa Makonda style".

Anayeshikamana na shetani, ni mwovu kama shetani mwenyewe. Endelea kushikamana na shetani.
 
Argue sensibly and logically.

Unajua utofauti wa tuhuma na ushahidi? Makonda anatuhumiwa kuhusika kwenye utekaji, mauaji, upotezaji watu, kubambikia watu kesi na uporaji wa pesa na mali za watu kupitia cheo chake...
Kukosa elimu ni tatizo kubwa
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Ulikuwa unamtetea Sabaya, sasa naona umeanza kumtetea Bashite..ukimaliza mtetee na Musiba
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito...

Thibitisha kuwa hajahusika alafu watakuthibitishia kuwa alihusikaje
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
unamtetea mlikula wote? hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho huyu makonda ndo alimteka mo na kumfanyia mambo ya pwani sio m2 mzuri huyu.
 
Pale jambazi linapomtetea jambazi mwenzake!!.

Aliyoyafanya makonda ni mengi kuliko aliyoyafanya sabaya!!. Hapa Samia atahukumiwa kwa upendeleo!!
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Tundu Lisu amesema bayana kuwa siku anapigwa risasi Makonda aliacha kuhudhuria event ya rais Dsm na alikuwa Dodoma. Unataka ushahidi gani tena?
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Ndugu yangu, hapa jamii forums siyo mahakama. Hapa ni kuonesha hisia zako. Mbona unalalamika sana. Mahakama itafanya kazi yake na itaamua kwa haki. Pilipili ziko shamba, zinakuwashaje?
 
Back
Top Bottom