Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda atapingaje ushoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa mavi? Kama hamujui tuulizeni tuwawekee hapa ni lini alianza kupakuliwa na nani kampakua!!Kwani ushoga ni sifa nzuri kwako siyo?
Maana wamarekani walimzuia kwa sababu aliupiga vita ushoga.
Ila Lissu walimkubalia sababu aliukubali Ushoga!
Wekeni ushahidi acheni Majungu.....
Wewe ni nani yakeHabari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Kuna kila dalili kuwa Idugunde ni mtu mwenye ukaribu sana na Makonda na Mwendazake.Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Upewe ushahidi wewe ni mahakama?Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?
Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?
Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.
Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.
SawaUpewe ushahidi wewe ni mahakama?
Ukishapewa utaufanyia nini au kwa faida ya nani. Endelea kuimba mapambio hapo kusifia wauwaji
Acha upumbavu na ushabiki mandazi unamtetea mahalifu laana yake itakukumba shauri yako !!!Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Cc Idugunde Crimea comte YEHODAYA CountrywideArgue sensibly and logically.
Unajua utofauti wa tuhuma na ushahidi? Makonda anatuhumiwa kuhusika kwenye utekaji, mauaji, upotezaji watu, kubambikia watu kesi na uporaji wa pesa na mali za watu kupitia cheo chake.
Kuna mazingira ya wazi yanayofanya atuhumiwe hivyo. Wananchi wengi kadhaa wanamtuhumu. Vyombo vya usalama vinamtuhumu. Marekani nayo inamtuhumu kwa kuwanyima watu haki ya kuishi.
Wenye jukumu la kufanyia kazi tuhuma wanajulikana. Wewe unasema walete ushahidi hapa. Wewe unataka walete ushahidi hapa, unataka ufanye nao nini? Au wewe ndiye Makonda mwenyewe, unataka uanze kuandaa defence?
Serikali itakapokuwa na dhamira njema ya kutaka waathirika watendewe haki, ushahidi utapatikana mahakamani. Kwani ushahidi wa Sabaya uliletwa hapa? Tuhuma dhidi ya Sabaya zilikuwa nyingi. Wapo watu waliokuwa wakikejeli, alipopelekwa mahakamani, ushahidi umepatikana au haukupatikana?
Ushahidi dhidi ya Makonda utakuwa mwingi kuliko hata dhidi ya Sabaya. Na Makonda, kwa uhakika ni mhalifu maradufu ya Sabaya. Ndiyo maana hata Sabaya alipokuwa akipora pesa za watu, alikuwa akitamka wazi, "hii inaitwa Makonda style".
Anayeshikamana na shetani, ni mwovu kama shetani mwenyewe. Endelea kushikamana na shetani.
CcMy friend, what you’re asking for is a tall order. Usipoteze muda kuutafuta huo ushahidi hapa JF, hutaupata. Hii sio juridical forum. Hapa tunaaminishana kwa kutumia “plausible” facts na arguments basi. Sisi tuna-connect the dots. Unapima mwenyewe.
Somo kuu mashabiki wa watawala mnalotakiwa kujua ni kuwa ukiwa na kiherehere sana, wewe ndio unakabidhiwa kazi chafu ili baadaye usukumizwe kirahisi ndani ya dampo. You become easily “expendable”.
Mwigulu alikuwa hivyo awamu ya nne na partly ya tano. Baadaye kama vile akajishtukia, akajirudi kiasi lakini rekodi ya kushika uchafu haifutiki kabisa.
Mpe ushauri nasaha Makonda jinsi ya kusurvive hii kadhia. Kumtafutia heshima hapa JF is an exercise in futility. He’s completely soiled up!
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.
Sabaya sio gaidi. Kumbuka pia sio wote wanaokuwa gerezani ni magaidi.
Nape yupo na amerudi kwenye nafasi ileile ana kila kitu vinginevyo amenyamazishwa!!jamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
NSA hunasa mawasiliano ya simu, email, fax, msg, etc duniani kote, , , yaani kuna server za ukubwa wa mahekali kwenye makao makuu ya NSA, ,Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?
Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?
Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.
Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.
Walinzi wa mkuluKwenye video ya clauds inaonesha makonda aliingia na walinzi wake wakiwa wamebeba bunduki ,je ni makosa kisheria kuingia clauds na bunduki!?