Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Ubalozi wa Marekani uliudhiwa na kitendo cha Makonda kusema mashoga wote watatafutwa popote walipo Dar ili washatakiwe au wafukuzwe kutoka jiji hilo.
Hiyo haikuwa sababu tosha ya kumzuia asikanyage Marekani yapo mengi 1649878846621.png
uchawa ulimzidi
 
Ubalozi wa Marekani uliudhiwa na kitendo cha Makonda kusema mashoga wote watatafutwa popote walipo Dar ili washatakiwe au wafukuzwe kutoka jiji hilo.
Kqbisa kaka

Maana hawakusema lolote jamaa alipovamia clauz pale ubalozi ulitulia kimya.

Ila alipogusia ushoga ubalozi ukaona ohoooo jamaa anazingua.
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Mwacheni kijana wa watu apumzike maana hakuna mkamilifu hapa chini ya jua
 
Kisa tu wamerakani walisema ndio imekuwa kweli?

Viongozi wangapi walishawekewa ban na Usa kwa figisu ili wakubaliane na matakwa yao?

Hivi unajua hata Mwl Nyerere Wamarekani walikuwa wakimuita dikteta mkomunist?

Wewe weka ushahidi humu hata wmarekani walikuonyesha ushahidi ulio wa wazi.
Ulitaka aseme nani ndiyo iwe kweli? Baadhi ya wananchi wamesema, unasema siyo kweli. Baadhi ya maafisa wa TISS wamesema, unasema siyo kweli. Lisu amesema, unasema siyo kweli. Wamarekani wamesema, unasema siyo kweli. Unataka aseme nani ndiyo iwe kweli?

Subiri siku atakapopelekwa mahakamani kwa makosa ya mauaji, ukamtolee ushahidi kuwa siyo kweli.
 
Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.

Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?

Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?

Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.

Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.

Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.

Ukiona mtu anaomba ushahidi ujue anajishtukia.
 
Sikujua kama JF kuna vilaza ambao hawajui sheria walau kidogo. Mnaambiwa mtoe ushahidi dhidi ya tuhuma zake za kumshambulia Tundu Lissu ila mnasema anamiliki magari kuliko mshahara, alivamia Clouds, alitukana watu. Ukivamia Clouds risasi zinajifyatua kwenye bunduki kutoka Dar kwenda Dodoma kumshambulia mtu?

Sasa mashtaka yataenda na ushahidi nyanya kama huu. Hata Lissu mwenyewe sio kiazi anajua sheria hakuna kesi inaenda hivi. Wanaosema kahusika watoe ushahidi then ushahidi ukiwepo yeyote yule anaweza fungua kesi

Wewe ndio kilaza ushahidi unatolewa mahakamani kwenye kesi. Sio Hapa JF.
 
Hizo ni assumption mbovu tu.

Assumption mbovu kivipi. Utaombaje ushahidi wakati hujafunguliwa kesi?. Kama hujafanya tulia, mambo ya kuomba ushahidi wakati hakuna aliyekushtaki inafanya tukuhisi una tatizo
 
Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.

Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?

Viva ngoshas.

Narudi usafani

Nakujiamini kote hawapo kwenye system. Kuna wanaojiamini zaidi yao. Ndio maana huyo jiwe wako alifichwa akashughulikiwa kimya kimya, halafu baadae mkatangaziwa msibaa
 
Mbona mnawahi
Asante Sana kwa hoja hii, mwenye ushahidi usiotia shaka ajitokeze not necessarily aulete humu, aupeleke kunako husika.

Mimi niliwahi kufanya kautafiti kadogo kumhusu huyu jamaa, nikabaini
P

P

Mbona mnawahi kabla ya muda? Subirini, jinai haifi.
 
Sasa unafikiri kuwa Marekani ilimpiga marufuku kuingia nchini humo kwa sababu ya chura kubwa?🐒🐒🐒
16410254203540.jpg
AUxi_e.jpg
 
N
Sasa kinachoshindikana ni nini si ushahidi ufike mahakamani. Kelele za nini kama hakuna mwenye nia ya kufungua mashtaka.

Kesi za Sabaya za ujambazi zilijulikana na uhusika wake kwenye wizi ulikuwepo, mahakamani walipeleka ushahidi wa CCTV footage baada ya kesi kufunguliwa. Hapa kwa Makonda hawasemi alihusika vipi, alituma watu au alitoa amri au alifanya nini. Na bado kesi hawataki kufungua

Naye muda wake ukifika Mambo yote yatawekwa wazi.
 
Hapa US, , deep state ni kina bush, obama, jimmy carter, warren buffet, etc
Naona huko ni walio wahi kuwa madarakani.
Vipi huko Us Deep State yao inajumla ya member wagapi?
Uongozi wao ukoje ukoje, huwa wanajiongozaje?
 
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.

Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.

Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.

Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Tafuta pale youtube statement ya Bashite akiwaambia waandishi wa habari kwamba Roma Mkatoliki atachiliwa soon. It means alikuwa anajua waliomteka na siu watakayomwachia!
 
Back
Top Bottom