Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #161
Kisa tu wamerakani walisema ndio imekuwa kweli?Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae atakuwa na ushahidi usio kuwa na shaka wa ufisadi wa Makonda atauweka hapa. If anything huo ushahidi hivi sasa uko kwenye vyombo vinavyohusika!! Hivi wewe kweli unadhani Marekani wangempiga marufuku Makonda kuingia nchini mwao bila ushahidi wa kuwa ni muhalifu?
Nyie wapambe mnaomlia hela zake ndio mnakuja na hizo thread za kijinga eti watu waweke ushahidi hapa, ili iweje? Mnamlia Bashite vijihela vyake vya mwisho mwisho kabla ya kufilisika hamna hata huruma!
Viongozi wangapi walishawekewa ban na Usa kwa figisu ili wakubaliane na matakwa yao?
Hivi unajua hata Mwl Nyerere Wamarekani walikuwa wakimuita dikteta mkomunist?
Wewe weka ushahidi humu hata wmarekani walikuonyesha ushahidi ulio wa wazi.