Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Umeufyata kwa Sabaya sasa umehamia kwa Makonda.Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito....
halafu wewe hapa ukiwekewa ushahidi utaufanyia nini? unadhani DPP hawezi kupata au hana huo ushahidi kiasi kwamba auombe hapa? ni serikali haijaamua tu. Chukua mfano kwa Sabaya,baada ya serikali kuamua,kuna ushahidi ulikosekana?
Acha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africanshalafu wewe hapa ukiwekewa ushahidi utaufanyia nini? unadhani DPP hawezi kupata au hana huo ushahidi kiasi kwamba auombe hapa? ni serikali haijaamua tu. Chukua mfano kwa Sabaya,baada ya serikali kuamua,kuna ushahidi ulikosekana?
nakuuliza wewe unahitaji huo ushahidi kwa ajili ya nini?tunawajibika kwako kuweka ushahidi au kujifurahisha tuAcha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
Usipoteze muda wako kumtetea muhalifuAcha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
Yawezekana huyu ndio Bashite mwenyewe!jamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
Hayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa marekani ushahidi wa wapi makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo...
Ibara ya 18 inataka wewe kupewa ushahidi au kutoa maoni? ukizingatia wewe umekuwa mtetezi wa majambazi kina Sabaya na sasa Bashite. tuambie kwanza umeridhika na ishahidi wa kulifunga gaidi Sabaya?Kama raia wa Tz nahitaji kupata ukweli. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba JMT.
Hivi zile CCTV cameras zilizokuwepo kwenye zile nyumba za viongozi kwenye yale makazi ya akina Lissu, Kalemani na Tulia Akson ziko wapi? Unafikiri Lissu ndiye alizichomoa akiwa mahututi?Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Raia wewe kumbe ujui mashambulizi ya Dodoma dhidi ya Lissu CCTV ziling'olewa maeneo ya tukio?Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa marekani ushahidi wa wapi makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo...
Wakileta huo ushahidi unistue mkuuHabari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...