kwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊππΏππΏππΏππΏππΏGTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
najiskia kuhani na kuwafariji wanafamilia waliopotelewa na ndugu zao ambao unadai wamefukiwa kwenye makaburi ya halaiki.Walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki.
Je, walioua polisi na kuchoma vituo vya polisi wako salama? Vipi na wale wahuni ambao walivaa uniforms za polisi nao wako salama? Hali ya wale walioharibu barabara za mwendokasi nao bado wapo?GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
porojo zingine bana dahJenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊππΏππΏππΏππΏππΏ
Cc Mbaga JrJenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊππΏππΏππΏππΏππΏ
Dah wewe poyoyo tulidhani ulikufa kumbe uko hai. Whhhy?porojo zingine bana dah
Achana na huyo zee, anajua kujipa umuhimu asipohitajika
R.I.P in advance gentlemanDah wewe poyoyo tulidhani ulikufa kumbe uko hai. Whhhy?
Yapo makaburi ya kondokwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?