Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.🥺🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Huwa nakuheshimu Sana . Sijuagi kuwa na wewe ni cheap kiasi hiki? Kwa hiyo mtu akifa sasa hivi mnaconnect walau mpate pa kujifariji. Yaani auwawe waziri halafu katibu mkuu wa wizara ambaye kimsingi ndiye mtendaji mkuu aachwe?
 
Huwa nakuheshimu Sana . Sijuagi kuwa na wewe ni cheap kiasi hiki? Kwa hiyo mtu akifa sasa hivi mnaconnect walau mpate pa kujifariji. Yaani auwawe waziri halafu karibu mkuu wa wizara ambaye kimsingi ndiye mtendaji mkuu aachwe?
Naye watamuua soon
 
Je, walioua polisi na kuchoma vituo vya polisi wako salama? Vipi na wale wahuni ambao walivaa uniforms za polisi nao wako salama? Hali ya wale walioharibu barabara za mwendokasi nao bado wapo?
Wale watahatarisha usalama wa qinyeo chako.
 
kwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
sina haja ya kaburi la yeyote, najiskia tu kwenda kutoa pole kwa familia moja au mbili miongoni mwa hao unaodai wamezikwa huko kondo?
Watu wengine ni wa hovyo sana.

Sio muda watawarudi na nyinyi.
 
Back
Top Bottom