Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Huyu atastaafishwa kisha anapigwa katafunua chapIGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Huyu atastaafishwa kisha anapigwa katafunua chapIGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
She was not involved kabisa nq wizaraGTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
maskini dah, hadi huruma![]()
kutengeneza artwork zinazomake sense bado mko nyuma manyumbu, keepitup

Anazungumzia maelfu ya Watanganyika waliowawa kikatili na Iddi Amini Mama. Are you not concerning?"Mashine ya kutengeneza taharuki"
Hizi ID kuna siku nitajua namba yako na nitaweka wazi maana kwenye group maongezi yako yana fanana nipo CCM.kwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?
omba ni kupatie hiyo namba na tuzungumze kama famili ya kitanzania , na uwapatie hiyo namba na wengine nao pia niwapatie elimu itakayowasaidia kuepukana kubebwa ufala wa kifikra na useless activists in hidden.Hizi ID kuna siku nitajua namba yako na nitaweka wazi maana kwenye group maongezi yako yana fanana nipo CCM.
View attachment 3514979View attachment 3514980

GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
wauawe simply kisa wanajua ramani nzima ya ule mtanange?Huu Ni ukweli mchungu ukitumika vibaya unauwawa
Hawa wakina Mafyere, Muriro, Watauwawa soon
Na wote wanakufa vifo vya ghafula
Sasa kama hata hii JF mkuu ambayo hata wewe unatoa maoni yako nayo pia wameifungia unadbani watu watabakiwa na nini zaidi ya chuki?Mmebakia na chuki tu
Yaani Ba-orange pona yake ilikuwa D09. Ila kwa sasa lazima wamuue hata afanyeje. Akitaka kupona atoroke nchi aende zake USA. Yaani kama wamemuua waziri wa afya sembuse yeye mwenye ushahidi wa kuuawa mdude, polepole 😂Brother Inno Ba-orange tulimuonya akimbie nchi aende US au Canada aombe hifadhi yeye na familia yake, mpaka leo anaamini kuwa mfumo utamlinda hapo alipo yupo katika surveillance ya Hali ya juu Sana akitoka tu nyumbani wanaye hadi anaporudi nyumbani bado wanaye bado wanafikiria kumuwekea vinasa Sauti katika nyumba yake, gari zake na ofisini kwake yaani hadi wampate na wakimpata tu, the next move ni kumuondoa fasta.
Ila hata RC-DSM naye ajiangalie maana anajua mengi na pia ni domo ropo ropo kutokana na domo ropo ropo wanaweza kupita nae anifunze kutoka kwa RC-Arusha yeye kimya tu kama hakuna kilichotokea hata alipokuwa Dar wakati wa operesheni ya panya road alikuwa kimya tu, huyu wa Arusha anajua Nini anachofanya
Ila Watanzania kwa kuunganisha dots hamjambo! Hii imekaa mlemle kweli utafikri kalikuwapo wakati wanapanga mbinu! Genge la Kigwete ni mafia wa hatari sana! Watafyekwa mpaka waseme!GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.
Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.
Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji
Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa
IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji
Tuongeze idadi
Bosi hii kitu wala siyo dot ni obvious kabisa. Samia na genge lake wapo kwenye mkakati wa kufuta ushahidi. Si umeona wamepita na waziri. Wanaofuata sasa ni IGP, Muliro, Bashungwa na Madakitari woteIla Watanzania kwa kuunganisha dots hamjambo! Hii imekaa mlemle kweli utafikri kalikuwapo wakati wanapanga mbinu! Genge la Kigwete ni mafia wa hatari sana! Watafyekwa mpaka waseme!
Ni hatari sana! Na Sisi raia kama hatuna akili vile, jana nimesikia kuna TISS wamejipenyeza kwenye kikao vya ndugu wa Jenista sasa najiuliza kwa nini tuliwaacha wanakaa kwenye kikao hicho wakati hatuwafahamu? Kwa nini tusiwatimue?Bosi hii kitu wala siyo dot ni obvious kabisa. Samia na genge lake wapo kwenye mkakati wa kufuta ushahidi. Si umeona wamepita na waziri. Wanaofuata sasa ni IGP, Muliro, Bashungwa na Madakitari wote
Creators pleasecreaters