Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

kutengeneza artwork zinazomake sense bado mko nyuma manyumbu, keepitup :NoGodNo:
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
GTs,

Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.

Kwa akili zangu za kijinga, wafuatao hawapo salama kabisa wajiadae kufa kifo kibaya kusafisha mashahidi wote ili kesi ya ICC ikose nguvu.

Jenister Mhagama huyu kauawa sababu alikuwa ni waziri wa afya, alikuwa na ushahidi tosha wa namna majeruhi walivyopelekwa mochwari wakiwa hai wakafia huko, huyu pia alikuwa na ushahidi wa maiti zilivyorundikwa etc.

Waziri mambo ya ndani huyu anamaelekezo yote ya kutekeleza mauaji

Madakitari wa hospitali ambazo zilipokea wagonjwa

IGP na Muliro na askali wote walioshiriki/kushirikiana na kikundi cha mauaji

Tuongeze idadi
Mhagama ange testify kwa kuifavour serikali
 
Afi mtu hapa labda Mungu kama amepanga
 
Back
Top Bottom