Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

Mshana bwana!
 
we ndio artwork manager wa THE CHANGE?
UPO NAIROBI AU bongo?

nitafurahi na kukulipa zaidi ya wanachokupa hao digital sadism content creaters ikiwa utanisaidi kupata familia hata moja tu ya hao ambao umewweka kwenye hiyo artwork ya taasisi yako ya porojo ili walau nitoe pole na rambirambi zangu na za familia yangu.
 
porojo ni vitu nonsense sana gentleman,

hakuna haja kubabaika navyo sana
Watu watekwa, raia wauawa kwa risasi za moto mchana kweupe, viongozi wastafu wanashikiliwa vituo vya polisi bila kupelekwa mahakamani, raia wanashushwa kwenye magari na kuuawa serikali ipo kimya then mnaita porojo...!!?

Mwisho wenu unakuja.
 
Tunawajua nyumbu huwa hamna akili akifa kiongozi serekalini akili zenu za kinyumbu huwa mnasema huyo kauliwa kwahiyo tumewazoea.
 
Watu watekwa, raia wauawa kwa risasi za moto mchana kweupe, viongozi wastafu wanashikiliwa vituo vya polisi bila kupelekwa mahakamani, raia wanashushwa kwenye magari na kuuawa serikali ipo kimya then mnaita porojo...!!?

Mwisho wenu unakuja.
hizo porojo ni useless kabisa gentleman
 
Je, walioua polisi na kuchoma vituo vya polisi wako salama? Vipi na wale wahuni ambao walivaa uniforms za polisi nao wako salama? Hali ya wale walioharibu barabara za mwendokasi nao bado wapo?
Hao wahuni walifanya hivyo kuwapigania ndugu zao mlio wateka na kuwatoboa macho kuwatupa baharini, umeelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…