Wenye ushahidi wa mauaji ya MO29 kupukutishwa wote

She was not involved kabisa nq wizara

Alishakua nje ya wizara
 
kwa hao walio aga dunia, matanga yako wapi ndugu mdau tukahani?
Hizi ID kuna siku nitajua namba yako na nitaweka wazi maana kwenye group maongezi yako yana fanana nipo CCM.
 
Hizi ID kuna siku nitajua namba yako na nitaweka wazi maana kwenye group maongezi yako yana fanana nipo CCM.
View attachment 3514979View attachment 3514980
omba ni kupatie hiyo namba na tuzungumze kama famili ya kitanzania , na uwapatie hiyo namba na wengine nao pia niwapatie elimu itakayowasaidia kuepukana kubebwa ufala wa kifikra na useless activists in hidden.

huna haja ya kubabaika na kujitesa au kujipa shughuli ya kizembe kama hiyo gentleman
 

Brother Inno Ba-orange tulimuonya akimbie nchi aende US au Canada aombe hifadhi yeye na familia yake, mpaka leo anaamini kuwa mfumo utamlinda hapo alipo yupo katika surveillance ya Hali ya juu Sana akitoka tu nyumbani wanaye hadi anaporudi nyumbani bado wanaye bado wanafikiria kumuwekea vinasa Sauti katika nyumba yake, gari zake na ofisini kwake yaani hadi wampate na wakimpata tu, the next move ni kumuondoa fasta.

Ila hata RC-DSM naye ajiangalie maana anajua mengi na pia ni domo ropo ropo kutokana na domo ropo ropo wanaweza kupita nae anifunze kutoka kwa RC-Arusha yeye kimya tu kama hakuna kilichotokea hata alipokuwa Dar wakati wa operesheni ya panya road alikuwa kimya tu, huyu wa Arusha anajua Nini anachofanya
 
Sasa kama itakuwa ni shughuli pevu kutoa taarifa kwenye tume hiyo, hiyo tume itatoa ripoti vipi ikiwa wananchi hawatatoa taarifa?
 
Yaani Ba-orange pona yake ilikuwa D09. Ila kwa sasa lazima wamuue hata afanyeje. Akitaka kupona atoroke nchi aende zake USA. Yaani kama wamemuua waziri wa afya sembuse yeye mwenye ushahidi wa kuuawa mdude, polepole 😂
 
Ila Watanzania kwa kuunganisha dots hamjambo! Hii imekaa mlemle kweli utafikri kalikuwapo wakati wanapanga mbinu! Genge la Kigwete ni mafia wa hatari sana! Watafyekwa mpaka waseme!
 
Ila Watanzania kwa kuunganisha dots hamjambo! Hii imekaa mlemle kweli utafikri kalikuwapo wakati wanapanga mbinu! Genge la Kigwete ni mafia wa hatari sana! Watafyekwa mpaka waseme!
Bosi hii kitu wala siyo dot ni obvious kabisa. Samia na genge lake wapo kwenye mkakati wa kufuta ushahidi. Si umeona wamepita na waziri. Wanaofuata sasa ni IGP, Muliro, Bashungwa na Madakitari wote
 
Bosi hii kitu wala siyo dot ni obvious kabisa. Samia na genge lake wapo kwenye mkakati wa kufuta ushahidi. Si umeona wamepita na waziri. Wanaofuata sasa ni IGP, Muliro, Bashungwa na Madakitari wote
Ni hatari sana! Na Sisi raia kama hatuna akili vile, jana nimesikia kuna TISS wamejipenyeza kwenye kikao vya ndugu wa Jenista sasa najiuliza kwa nini tuliwaacha wanakaa kwenye kikao hicho wakati hatuwafahamu? Kwa nini tusiwatimue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…