Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

1. Unafahamu ratiba yao ya mlo kabla hajaenda?
2. Je huo ugali nao wanakula au unalishwa peke yako?
Ndio maana mimi sitaishi na ndugu yangu kamwe, ndugu lawama ndio kama nyie.
Huoni ulifanya uzembe mpaka dogo kakwaribia miwani na usb yako? Mbona vya babake haaribu aharibu vya kwako tu? Linda vitu vyako acha kumchonganisha ndoa za watu.
 
😅😅😅 aah umejuaje haaribu unakaaga nae?? vitu vingne siez vieka hapa mkuu

Mtoto ni mtoto huezi mchunga

Aah huo ugali never mind kwanza metoka kula sasa hivi tafanyaje sasa😍
 
GUYS mechoka na huu uzi sihitaji new reply

tukomee hapa 🙏🏽
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Shule ndo nini mkuu

tushastaafu kushika peni wenzio
Umestaafu kushika peni na Bado unaomba ushauri/ mbinu za kuishi kwa nduguyo, au Kuna ndugu wamekuja kuishi kwako ungefafanua kuwapa watu mwanga waanzie wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…