Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Mkuu sijuwi kawa nina kazi au nina kibarua ila olu in olu ninashughulika.
Demu nishapata tayari, suuni namtangaza hapa
 
mada tatu katika mada moja

1. Malalamiko juu ya charting zisizoendana na content ya mada husika

2. Mtu anawezaje kupata mwanamke humu JF

3. kama kuna mtu ana connection ya mchumba akushtue
Yaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…