kweli tusio chepuka tupo sana tuu, leo tarehe 8 nimwaka wa 2 wa ndoa yetu, na sijawahi kuchepuka japo safari ni ndefu na wazuri wako wengi na wenye mitego mingi lakini naamini kwangu watagonga mwamba, wakati fulani mwenzangu alikua mzazi so tulikaa karibu mwaka mmoja bila kukutana na hanma shida yoyote ilio tupata, maadam tunategemea mwongozo wa Neema ya Mungu hatuna wasiwasi.
You are right. I have been married for over 25 years and had never doubted my honey. we love, face difficult together, fight but at the end of the day we are one. I love my marriage and my family .Make your partner be your best friend ever that has postive results to overcome cheating games
Wanaume mwenye wanawake wengi kwao ndo wana mvuto na asiyekuwa na wanawake wengi basi wao wanawaza huyu hana mvuto,ndugu yangu kama na wewe ni mwanaume nahuchepuki basi hakikisha mkeo anajua kuna wanawake wengine wanakusumbua ila wewe umeamua kutulia na yeye.Huu ushauri ukiuangalia juu juu niwakipuuzi kabisa lakini mambo yakipuuzi ndo yanafanya wanawake wanapenda sana wanaume wapuuzi na kuwaacha decent men.Shangaaa na weweAkili zao huwa zikoje?
Kama kuna mtu siwezi kumchukulia dhamana ni Mwanamme,siwezi kumwambia kama sikuamini ila siwezi kutembea kifua mble eti mume wangu hawezi ku cheat, hilo sitolisema mpaka nakufa.Kwanini huamini? So unategemea achepuke kwasababu wengi wako kundi hilo?
Haya ndio mahusiano jinsi yanavyotakiwa.Njia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika
It depend how you met him, handle him and how you treat him. Ili uolewe inabidi uwe mke kweli na rafiki wa mme pamoja na kuwa dada pia saa nyingine unakuwa mama. If you do not meet those needs, you miss out.Kama kuna mtu siwezi kumchukulia dhamana ni Mwanamme,siwezi kumwambia kama sikuamini ila siwezi kutembea kifua mble eti mume wangu hawezi ku cheat, hilo sitolisema mpaka nakufa.
Tahadhari ni nzuri zaidi kuliko kujiamini upo peke yako,nimekupa big likeNapita,mie wangu sijamfumani ila siamini kama hachepuki manake ni Hulka ya baadhi ya wanaume.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kumuelewa mwanamke inakuchukua miaka mingi sana na huenda usimuelewe piaUpumbavu wa kutokuchepuka ujue at some point kwenye maisha mwanamke anaweza kuona huna mvuto...si mnajua akili zao lkn anaweza kuhisi wewe faraaaaaaaa.Nakumbuka 2017 nilikaa na mwanamke wangu km miezi 6 bila kuwa hata na demu wa pembeni wa kuchati nae basi siku moja demu wangu akaniambia kisa kimoja hivi toka siku hiyo nikatafuta mchepuko.
Ohhh this is so sweet, i love this so much....mwanamke unaweza mfanya mume wako akawa amesimama na wewe tu au pia ukamfanya cheat...katika ndoa a key player here is a woman.You are right. I have been married for over 25 years and had never doubted my honey. we love, face difficult together, fight but at the end of the day we are one. I love my marriage and my family .
MMe hana tofauti na paka wala mbwa wa kufugwa. Unavyomhandle ndivyo na yeye anajiheshimu. Imagine ufike nyumbani ukute hata juice hakuna au anaitwa dada kukuletea? Kweli inaleta? Wengine wanachelewa lakini ukifika unamuuliza mwezio umepata maji ya kuoga au unahitaji nini???Ohhh this is so sweet, i love this so much....mwanamke unaweza mfanya mume wako akawa amesimama na wewe tu au pia ukamfanya cheat...katika ndoa a key player here is a woman.
Mkuu Amenioa 18 yrs Ago lakini still simchukulii dhanama,nna 7kids na yeye lakini narudia tena simchukulii dhanana, sijawahi kumfumania ila simchukuliii dhanama kama hawezi ku cheat,mwanamme mpe chochote unachokijua wewe anaweza kufata kitu mpaka ukashangaa ilikuwaje.It depend how you met him, handle him and how you treat him. Ili uolewe inabidi uwe mke kweli na rafiki wa mme pamoja na kuwa dada pia saa nyingine unakuwa mama. If you do not meet those needs, you miss out.