Wenye wapenzi/waume wasiochepuka tukutane hapa

Siwezi kuingia akilini mwako ila siwezi kukubaliana na wewe 100% Kuna watu wanajiheshimu, wanajiamini na wanathamini familia zao kuliko huko chini. Sawa ni wachache lakini wachache hao yawezekana wa kwako akawa mmoja wapo.
 
Wanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Uzi wa kupeana moyo
 
Mungu azidi kuwasimamia kahaba asimteke awaye yoyote kati yenu
 
Kila kitu hutokea kwa sababu na mara nyingi mausiano mabovu upelekwa mtu kutoka kwenye njia

Binafsi huu uzi haunihusu japo kwa sasa najitaidi nisihame njia tena
 
Kuchepuka hutokea ukiingia katika uhusiano na mtu asiyeelewa aidha ku play katika role yake ama incompatibility issues.
Katika kutafta namna ya ku compromise magepu ndio hapo watu huamua kufidia mapungufu kwa michepuko.
But i can assure you wanaume waaminifu tupo wengi tu and what we only demand is feeling loved genuinely(kuhudumiwa, unlimited sex, kubembelezwa) and respected (Bila kiburi,kauli chafu,usaliti pia hekima na busara) at par! Kikikosekana kimoja toka kwa main chick lazima vitapatikana nje tu na no man will turn down such kind of offer!
 
Ukiangalia msingi wa amani katika mahusiano yenu its because your wife loves you dearly! Hakuna kunyimana sex wala kauli za kishenzi katika uhusiano wenu. Inshort hamna anaempunguza mwenzie kumfanya ajione si lolote!
 
Ohhh this is so sweet, i love this so much....mwanamke unaweza mfanya mume wako akawa amesimama na wewe tu au pia ukamfanya cheat...katika ndoa a key player here is a woman.

Both partners are key players jamani. Kwani mwanamke yeye hana feelings? Everyone has to work on their marriage to make it good
 

Nimekuelewa
 

🤣🤣🤣🤣🤣 mapaka mpo??
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kumuelewa mwanamke inakuchukua miaka mingi sana na huenda usimuelewe pia

Nafundisha course on how to know a woman 😀😀😀 jiandikishe
 
Ohhh this is so sweet, i love this so much....mwanamke unaweza mfanya mume wako akawa amesimama na wewe tu au pia ukamfanya cheat...katika ndoa a key player here is a woman.
Wacha we!!!!!
 
Moyo wa mtu kichaka , wahifadhi vingi .. Labda uwe umenfunga GPS kwa ajili ya umtrace every his single step -
 
Nimeshaamua, Nikioa tu, kuchepuka never!Ila mke wangu ajiandae serekasi kama za Jet Lee kila anapokuwa fit. Yaani nitamvumilia akiwa hayuko ok, ila siku ambazo yupo vzr ni tizi kwenda mbele!
 
tunashukuru sana kwa kutambua uwepo wetu aisee
 
Nimeshaamua, Nikioa tu, kuchepuka never!Ila mke wangu ajiandae serekasi kama za Jet Lee kila anapokuwa fit. Yaani nitamvumilia akiwa hayuko ok, ila siku ambazo yupo vzr ni tizi kwenda mbele!
Hilo hawataki, if thats what you expect kwa mwanamke wa kileo you'll end up very disappointed. Labda awe mama wa nyumbani tu!
 

That’s what’s up!!
Hongera sana mkuu
Ndoa inatakiwa iwe hivyo
 
Kama ulifanya huo ujinga kabla ya ndoa ukiingia kwenye ndoa unawadharau michepuko balaaa! Toka nilipopata mke sihitaji tena Mchepuko wanapiga simu balaaa! Sipokei sms cjibu wanalaumu kama vile nimewanyima Ugari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…