Hongera, nimependa hiiNjia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika
Wanaume mwenye wanawake wengi kwao ndo wana mvuto na asiyekuwa na wanawake wengi basi wao wanawaza huyu hana mvuto,ndugu yangu kama na wewe ni mwanaume nahuchepuki basi hakikisha mkeo anajua kuna wanawake wengine wanakusumbua ila wewe umeamua kutulia na yeye.Huu ushauri ukiuangalia juu juu niwakipuuzi kabisa lakini mambo yakipuuzi ndo yanafanya wanawake wanapenda sana wanaume wapuuzi na kuwaacha decent men.Shangaaa na wewe
Ni ukweli mchungu mkuu, kati ya wanawake 10 wa kileo ambao wako tayari kuvuliwa chupi na mume freely bila kulalamika hawazidi wawili mzee.Acha kumtiasha mwenzio bwana 🤣🤣
Tena sanaaMnafarijiana sio..
Ni kwamba hamtujui vizuri tuWanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
MwanaumeWewe ni mwanamke?
Sio kwamba hawachepuki, ni kwamba wamewazidi ujanja. Endeleeni kuwa maboya kwa kuwaza hawachepuki.Wanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Mkuu shukrani sana kwa kutokutoa codes zetu hapa. Inapendeza kuwa loyal.Ndio ukweli huo. Wenye akili wanajua kuchepuka sio dili
Sitaki utanipoteza wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nafundisha course on how to know a woman [emoji3][emoji3][emoji3] jiandikishe
espy nini tena [emoji13] [emoji13]Wacha we!!!!!
Yah pale unapoona matumaini yamepotea basi kufarijiana inapendeza zaidiTena sanaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aah wapi. Nyeupe ni nyeupe tu haiwezi kuwa nyeusi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimeshaamua, Nikioa tu, kuchepuka never!Ila mke wangu ajiandae serekasi kama za Jet Lee kila anapokuwa fit. Yaani nitamvumilia akiwa hayuko ok, ila siku ambazo yupo vzr ni tizi kwenda mbele!
Aibu naona mimiHere i am.
Imani ni nzuriNamshukuru Mungu kwa mume alienipatia aisee, naamini hachepuki
Nimeshaamua, Nikioa tu, kuchepuka never!Ila mke wangu ajiandae serekasi kama za Jet Lee kila anapokuwa fit. Yaani nitamvumilia akiwa hayuko ok, ila siku ambazo yupo vzr ni tizi kwenda mbele!
Ninaafikiana na wewe mkuu.Hilo hawataki, if thats what you expect kwa mwanamke wa kileo you'll end up very disappointed. Labda awe mama wa nyumbani tu!