Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Ewaaaaaa![emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kukazia na kuongezea tu: kuna wanaume wana mipesa lakini wake zao/watu wao wanapeleka hizo hela kwa mwanaume mwingine kapuku tu ambae anamkaza na kumkojoza ipasavyo..



Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh! ! Inasikitisha sana


Cc Smart911



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa na pesa huwezi kuwaza haya yote[emoji16][emoji16]

Umeongea kwa uchungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamjaelewa wanaume was humu jf, shida yao sio ninyi kuhudumiwa, au kupewa hela na mwanaume. Bcoz hio ni sehem ya mahusiano ya kimapenzi

Wanachojaribu kushauri ni kuwa wanawake mjitegemee kiuchumi, ili Siku mkitoa papuchi, mtoe papuchi kwa ajili ya kupunguza genye zenu, na sio kwa ajili ya kupata kitu flani Diana Spencer Rebeca 83 yna2
 
Dawa ni kuoa waliopo humu jf, make sio kwa semina hizi za kila siku!
 
Ni sawa na kumfundisha Mamba kuwinda porini .
 
Yes Boss, I agree with you
Your words are 100% true.

Pesa ni namba, na namba hazina mwisho, anaetegemea pesa kupata furaha itamgharimu maisha yake yote na furaha atakayopata ni ya muda mchache sana.
Pesa ikitumika kama fimbo basi utu, furaha na mapenzi yatapotea.

Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Boss, I agree with you
Your words are 100% true.

Ni vizuri kuridhika, kuishi maisha halisi na kukubaliana na hali iliyopo katika maisha yenu/yako. Baada ya hapo mnaongeza juhudi za kutimiza ndoto zenu.

Pesa itumike kulingana na kipato (gharama zisiwe kubwa), akiba ipatikane na pesa ya dharura pia iwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Amina Amina. .


Cc Smart911
 
Wewe ni kabila gani kiasil ? Kabila lenu huenda lina wanawake wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…