ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Upo sahihi, tutafute pesa. Ila pia sisi wenye watoto wa kike tuwafundishe binti zetu kuwa independent, wakikuwa watinduliwe sio kwa sababu wana shida ya kulipiwa chumba au kupelekwa chuo, watinduliwe kwa starehe zao huku wakiwa wanajiweza kiuchumi. Kuna wanawake wanatengeneza pesa ya kutosha, waliandaliwa hivyo, wengine ni bahati zao japo wapo wametumia pia hiyo resource kupata uwezo, lakini they live good, wakitoa utamu sio kwa malipo bali kwa kuwa wanataka kupunguza genye zao.Its true...
Ndiyo maana tunarudi pale pale kwamba... hakuna jambo jema kama mwanaume kumilki pesa... Financial stable...
Hata mawazo yako yanakua always positive kwa viumbe wa kike... kamwe hutakaa kumuwaziwa mwanamke vibaya...
Ila kama huna pesa, unakua na jazba, pressure, hasira, kitu kidogo kwako ni anasa, unahisi unachunwa muda wote, kuibiwa...
Kumbe ni mambo madogo sana kuhudumia mwanamke...
Cc: mahondaw