Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najitahidi kuvumilia kwa kiwango cha lami kabisa ๐๐๐
Kuna mtu kanikera sehemu ngoja nikuTag uje uununue hukuNajitahidi kuvumilia kwa kiwango cha lami kabisa ๐๐๐
Shetani na ashindwe
๐๐๐๐๐๐Kuna mtu kanikera sehemu ngoja nikuTag uje uununue huku
Mbona unatikwa na povu cn limekuuma cnHela si mapenzi wala kutinduana.
Wapo watu wana hela na wanatunza mwanamke kwa kila kitu na wanatomba kama hawatombi tena.
Nimeshapitia hilo.
Hela kupewa nyingi na kitandani kuna vingi vile vile.
Yaani tunaita full package mpaka unaona mtu umependelewa.
Kuwa na pesa kutokumridhisha mwenzako ni uzwazwa.
Uzwazwa zaidi ni mwanaume kutokuwa na pesa.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Sijapata notification ๐๐๐๐๐๐๐
Embu tulia huko
Tulia napambana nae mwenyewe..acha nikammwagie sumu ukiona kimya ujue nimepewa banSijapata notification ๐๐๐
Bonge moja la pointIts true...
Ndiyo maana tunarudi pale pale kwamba... hakuna jambo jema kama mwanaume kumilki pesa... Financially stable...
Hata mawazo yako yanakua always positive kwa viumbe wa kike... kamwe hutakaa kumuwaziwa mwanamke vibaya...
Ila kama huna pesa, unakua na jazba, pressure, hasira, kitu kidogo kwako ni anasa, unahisi unachunwa muda wote, kuibiwa...
Kumbe ni mambo madogo sana kuhudumia mwanamke...
Cc: mahondaw
Kwahiyo umegoma kuniita? Ngoja nije mwenyeweTulia napambana nae mwenyewe..acha nikammwagie sumu ukiona kimya ujue nimepewa ban
Yes Boss, I agree with you.Kabisa ukitanguliza hela mbele kama kigezo utayakosa mengine mazuri yanayomjenga mtu kama mtu. Sasa wengi wamekazania filter check ya hela. If no money...next pls! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wahuni wanatembea na chaki tu.
Exactly, katika maisha pendelea kukubalika as a person ila sio kwa sababu ya hela or status. Hata mahusiano yanayojengwa na msingi huo huwa yanadumu sana tofauti na yale ambayo yanajengwa na tamaa ya pesa. Mtu akifukuzwa kazi au mradi wa kuingiza pesa ukipata pigo na mahusiano yanakufa kibudu.Pesa haitoshelezi, hata mwanamke akipewa kiasi gani ataendelea kuhitaji zaidi na zaidi. Tamaa ya pesa inapoendelea zaidi inakuwa ndo tabia kwa namna yoyote inabidi aipate hiyo pesa.
Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji1787]
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Kukosa pesa ni hatari sana...
Cc: mahondaw
Pesa haitoshelezi, hata mwanamke akipewa kiasi gani ataendelea kuhitaji zaidi na zaidi. Tamaa ya pesa inapoendelea zaidi inakuwa ndo tabia kwa namna yoyote inabidi aipate hiyo pesa.
Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko pesa
Sent using Jamii Forums mobile app