Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Hela si mapenzi wala kutinduana.
Wapo watu wana hela na wanatunza mwanamke kwa kila kitu na wanatomba kama hawatombi tena.
Nimeshapitia hilo.
Hela kupewa nyingi na kitandani kuna vingi vile vile.
Yaani tunaita full package mpaka unaona mtu umependelewa.
Kuwa na pesa kutokumridhisha mwenzako ni uzwazwa.
Uzwazwa zaidi ni mwanaume kutokuwa na pesa.
Mbona unatikwa na povu cn limekuuma cn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its true...

Ndiyo maana tunarudi pale pale kwamba... hakuna jambo jema kama mwanaume kumilki pesa... Financially stable...

Hata mawazo yako yanakua always positive kwa viumbe wa kike... kamwe hutakaa kumuwaziwa mwanamke vibaya...

Ila kama huna pesa, unakua na jazba, pressure, hasira, kitu kidogo kwako ni anasa, unahisi unachunwa muda wote, kuibiwa...

Kumbe ni mambo madogo sana kuhudumia mwanamke...



Cc: mahondaw
Bonge moja la point

Mwanaume akiwa na pesa lazima awe positive kwa kila mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa haitoshelezi, hata mwanamke akipewa kiasi gani ataendelea kuhitaji zaidi na zaidi. Tamaa ya pesa inapoendelea zaidi inakuwa ndo tabia kwa namna yoyote inabidi aipate hiyo pesa.

Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, katika maisha pendelea kukubalika as a person ila sio kwa sababu ya hela or status. Hata mahusiano yanayojengwa na msingi huo huwa yanadumu sana tofauti na yale ambayo yanajengwa na tamaa ya pesa. Mtu akifukuzwa kazi au mradi wa kuingiza pesa ukipata pigo na mahusiano yanakufa kibudu.
 
Sawa umesikika, me twins wangu sijui niwafunze kitu gani maana ni wa kiume
 
Kweli kabisa. .ndiomana mimi sipendagi mwanaume mwenye pesa anaetumia pesa zake kama fimbo
Mimi napenda mtu sipendi pesa zake wala Mali zake kwani mahusiano yana mambo mengi na vigezo vingi sio pesa tu.

Cc Smart911
Pesa haitoshelezi, hata mwanamke akipewa kiasi gani ataendelea kuhitaji zaidi na zaidi. Tamaa ya pesa inapoendelea zaidi inakuwa ndo tabia kwa namna yoyote inabidi aipate hiyo pesa.

Thamani ya mwanamke ni kubwa kuliko pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom