Umemaliza 20 to 30 minutes quality better kuliko chochote, shida vijana wengi wakianza kusikia hizi porojo sijui vitatu basi wanaamini wanaanza kufikiri labda na shida fulani kumbe porojo tu. Quality better than quantity. Huyo sasa anayejipigia debe mimi vitatu kama ndio ingekuwa yanafunguliwa hadharani watu wangeumbuka sana. Mzee wa vitatu vipi tena...😛 labda tena nasema labda uwe unabadilisha mwanammke kila siku lakini huyo huyo kila siku vitatu, tusidanganye hapa.Sahihi ukiweza kubalance ukazuia kile kimoja ukapigwa walau kwa dk 15,... Kimoja lile bao la kwanza ni bao tamu sana haya mengine ni mbwembwe tu, kuchosha mwili na kupoteza muda wa kufanya mambo ya maendeleo