Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Amen barikiwa pia🙏🏾
 
Ukweli hiyo ni roho ya uzinzi hata ukiolewa, mmeo asipokuwepo muda fulani,utaangukia huko huko, inakutuma ufanye hiyo kitu baada ya kipindi fulani uwe umeolewa au la. Na wewe mwenyewe unapenda xes, sasa dhambi inakomaa. Wengi wanatatizo hilo.

Jinsi ya kutoka huko ni wewe mwenyewe kuamua na kumwomba Mungu. Sawa na mtu anaevuta sigara baada ys xray ya mapafu akiambiwa akivuta mwezi mmoja zaidi anakufa atabadili mwelekeo.

Mimu nildhani nikioa tatizo litakwisha, kwa kweli halikuisha mpaka nilipochukua hatua.
 
Akili yako ikiwa busy na majukumu, hisia huondoka, pia Fanya mazoezi ya kimwili. Hisia zikija, kemea na kuimba mapambio
 
Hii hali naipataga nikitoka kutindua kipotabo guest yani nikimwaga tu nahisi nimetenda kosa na kujiona mkosefu nafuta namba ya mchuchu na kuziblok zote ila baada ya lisaa namtumia meseji mamboo😆😆😆

Mleta mada bila shaka unatoka kudinywa sasa hivi tulia kidogo utarudi kwenye hali yako ya kawaida
 
HUU UZI NI WA KUCHORESHANA.......YAA
NI HATA MA SISTER/WATAWA WA KANISA KATOLIKI WANATO.MB.WA TENA KAVU KAVUUU......SEMBUSE HUYU NDALA NDEFU NDOO NINI TUSEME...MHHHHH HAHHAAHAH







KUCHORESHANA THREAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…