Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Hee humo hapana aisee😂
Hatopatikana nyumbani pia mwaya
Go out, inalipa utakutana na watu na katika hao utapata mnayependana utoe papa utulie mwaya
Hiyohyo triangle yako ukitoka home basi kunywa hata chai mgahawani/toka kununua bites/lunch/dinner ukutane na watu-ukisalimiwa itika huwezi jua..
Go shopping madukani nk
endelea kuchuja ipo siku
 
Huko kwenye ndoa napo kunyimana kupo pale pale
Unaweza ukajitunza halafu ukaenda kunyimwa....yaani unaiona ileeee ila ndo unanyimwa 😁
Ndo nilichomwambia
Ukiona umepata mtu na unamfeel tumianeni vizuri mapenzi hayana dhamana bila kujali una cheti au la
 
Husipate shida hata mimi niko single...njoo tutengeneze familia
 
Dahh yani sijui nikoje😂 ntajitahidi.. ila huwa siwezi kbs hizi hekaheka mweee! Tazeeka mimi🫢
 
Ss hapo hekaheka ziko wapi my wangu
Kunywa chai/lunch ukakutana na watu ni hekaheka?
Yaani sijui nikuelezeje!
Kwa upande mwingine mi ni introvert! Kutengeneza mazingira ya kudraw attention nilishashindwa, tumeumbwa kuattract sio kuchase kwaio inakuwa ngumu! Sipingani naww lkn najaribu kukueleza jinsi nilivyo… usione vibaya tu
 
Hapo sasa kazi..!!!! Kama umeumbwa ku-attract, jizurulishe kitaa uwavutie..!!
 
Yaani sijui nikuelezeje!
Kwa upande mwingine mi ni introvert! Kutengeneza mazingira ya kudraw attention nilishashindwa, tumeumbwa kuattract sio kuchase kwaio inakuwa ngumu! Sipingani naww lkn najaribu kukueleza jinsi nilivyo… usione vibaya tu
Nnachosema mwali sio ku'chase..ni kujiweka ktk mazingira ya kuongeza 'visibility'
Dont chase endelea na ratiba zako ila ktk mazingira ya kuonekana na wengi/zaidi
You dont need to speak to men
Mwenye interest atakusalimia
Then utaamua uongee nae/la
 
Sasa unasema humo hapana, na huku usikute unamtaka mwenye hofu ya Mungu. Huyo wa hofu ya Mungu probability kubwa ya kupatikana ipo kanisani

CC KateMiddleton
Hapo sasa,.
Wakati akijizoesha kutoka atakutana nao wengi sana
Binafsi the supply of men si tatizo
Tatizo hisia😀
Kumpata mtu mkapendana sana doesnt happen everyday
 
Nnachosema mwali sio ku'chase..ni kujiweka ktk mazingira ya kuongeza 'visibility'
Dont chase endelea na ratiba zako ila ktk mazingira ya kuonekana na wengi/zaidi
You dont need to speak to men
Mwenye interest atakusalimia
Then utaamua uongee nae/la
Sawa mamake nimekupata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…