Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Binti Sayuni tukiwashe kwanza wakati tukiendelea kujiuliza inawezekana vipi kukaa muda mrefu bila set.
 
Venye mnazuia Nature itawale....hivi vidude vimsumbwa vitumike..Sir mwenyewe ameviwekea mpaka mizinguko yake kwa mahesabu.

Kwa Wanaume ndio maana mitambo kama ipo sawa ile asubuhi unakuta mnara upo Chamwino unasaka net😀😀

Jitahidi hiyo kitu itumike faida zake ni kubwa sana ukilinganisha na hasara za kukaa bili kuwekwa na kuwekana.

Huku makazi watu wanakuwa vichaa😀😀
Mabinti Sayuni wakifungulia huleta majanga mazito sana na wakisema ni shetani.

Itumike tu hivi vitu...
 
Aisee asante sana kwa mawazo yako, umenigusa kwa namna yake na ni kweli kabisa, maisha haya na changamoto zake zinaweza kutufanya tujikute njia panda. Nimeandika kwa sababu nimebanwa sana moyoni na nikadhani labda nipo peke yangu kwenye hili. Lakini jibu lako limenifanya nijue kuna wengine pia wanapambana kama mimi! Nitamtegemea Yesu, sina njia nyingine, Mungu akusaidie pia katika safari yako kaka ake!
 
Hawa wazuri na warembo sijawaona labda wale wazugaji
Kibaya zaidi huko huko makanisani kuna wajanja huwa wanawaoa mapema sana. Mara nyingi kwa waliobarikwa kwenda chuo huwa hawamalizi miezi sita ya kabla au baada ya kumaliza chuo wanakuwa engaged tayari for marriage.
Kingine wanakuwa wamekaza San so akifika katk hiyo miezi sita tajwa hapo juu anawaza ndoa ili akawe huru maana kigezo Cha yeye kutoka nyumbani na kwenda kupanga ukitoa mambo ya chuo ni ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…