G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Your browser is not able to display this video.


Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad.

operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake.

imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa kufanyia shughuli zao sehemu zenye makazi, hospitali, shule, maeneo ya kuabudu, vituo vya huduma za jamii, n.k. - hawajali raia kufa au kuumia.
 
Halafu wafia dini wanakuja cheap propaganda na kusema Israel inashambulia raia
 
Uncle Bright kudos kwa hii video pamoja na hizo subtitles za kiswahili ulizoandaa. Tusichoke kuufikisha huu ujumbe kwa Waislam kwani wamegubikwa kweli kweli na Shetani na inahitajika Nguvu ya ziada kuwajulisha kuwa their Islamic cult ni janga la Dunia
 
Waislamu wapumbafu sana.
 
Wanatengeneza filamu ili kuhalalisha mauaji dhidi ya Wapalestina.
Vipi kwani na wewe unawapenda Waisrael? Ishaamuliwa mle kibano tu hata waliokuwa wanawaonea huruma wamewachoka mmekuwa waongo kupitiliza.. yaani mkorofi ndie anajifanya yeye ndiye victims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…