Daaah! Magaidi bhana... halafu utasikia "allahu Akbar"View attachment 3081731
Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad.
operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti unaotumika kama kiwanda cha mabomu
imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa kufanyia shughuli zao kwenye makazi ya watu, hospitali, maeneo ya kuabudu na huduma za jamii, hawajali raia kufa au kuumia.