Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

Ila ratio ya walioliwa nauli zao Ni kubwa kuliko ratio ya waliopokea nauli na kwenda kwa waliowatumia
 
Unakula nauli kwa sababu hujatumiwa " nauli" . Nauli is a code name

Mimi ukiniomba nauli, umbali wa mia tano nakutumia laki na 28 utoe laki na ishirini kamili, ili upite na saluni kabisa. Halafu nikisha kutumia sikuulizii kama umeipata wala nini. Nakuulizia ili iweje wakati umeshaniambia jina lako na mpesa au tigopesa wameonyesha hela imekuja kwako.

Wala siku ulizi ulizi unakuja saa ngapi. Na usipo kuja wala sikutafuti.

Next time lazima utanitafuta tu this time utakuja ukiwa more serious kwa lengo la kunishawishi kwa vitendo ili niwe nakupa zaidi ya nauli
Mkuu we tajiri 😃
 
Mkuu UNATUUZIA UOGA...

Kwamba "" Usipofanya kitu fulani kwa demu wako basi wapo watakaomfanyia."""

Hii ni kuwauzia Uoga vijana,,, wawe manipulated,,, wafanye wasiyoweza kisa tu mtu wake asiende kwa wengine....

Hii pia ni aina fulani ya kutojiamini,,, maana Duniani wapo waliokuzidi kila kitu na vilevile wapo uliowazidi kila kitu.... so ni vyema ukaishi katika misingi yako na ukaachana na hizi mbio za Panya...

Usipotuma wewe wengine wakatuma kuna ubaya gani??? Unakufa?? Uchi wa demu ni wako au wake.???? Na je ukituma 50k kwani wengine hawawezi tuma 200k au 1m...

Be a Man
Stay Taliban...
 
Mkuu wapo mpaka wanawake wa shilingi mia tano...
 
Back
Top Bottom