Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

Ila ratio ya walioliwa nauli zao Ni kubwa kuliko ratio ya waliopokea nauli na kwenda kwa waliowatumia
 
Mkuu we tajiri πŸ˜ƒ
 
Mkuu UNATUUZIA UOGA...

Kwamba "" Usipofanya kitu fulani kwa demu wako basi wapo watakaomfanyia."""

Hii ni kuwauzia Uoga vijana,,, wawe manipulated,,, wafanye wasiyoweza kisa tu mtu wake asiende kwa wengine....

Hii pia ni aina fulani ya kutojiamini,,, maana Duniani wapo waliokuzidi kila kitu na vilevile wapo uliowazidi kila kitu.... so ni vyema ukaishi katika misingi yako na ukaachana na hizi mbio za Panya...

Usipotuma wewe wengine wakatuma kuna ubaya gani??? Unakufa?? Uchi wa demu ni wako au wake.???? Na je ukituma 50k kwani wengine hawawezi tuma 200k au 1m...

Be a Man
Stay Taliban...
 

Mkuu wapo mpaka wanawake wa shilingi mia tano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…