Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ukutane na mtungo wa vibamia afu wewe una kisima ....ili kuwakomoa unawaambia "Hakuna mtu kuondoka hapa Ngoma ichezwe mpaka kukuche"🀣🀫
Kwa jinsi wanawake wasasa wanavyohimili moto hata mtungo wanaweza himili
 
Eeh ndio em waambie...... Mtu anakuita njoo sijui upae sijui utokezee kweny kona kama mchawi...... Mwanaume tuma pesa ya nauli sio kulialia ooh mtu mwenyewe nkikuita uji
 
Kwenye ile laki iliyotumwa kuna kijana nae katumiwa Elfu hamsini

Alisikika kijana mmoja , anajiita king'astiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mekumiss ujue
We acha mambo ya kiwaki, hatumii mtu nauki hapa mwaisa πŸ˜‚

Yaani wewe unimisi kisha mimi ndio nitume nauli. Kwani mganga mdio anamtumiaga nauli mtejaπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Sasa kama nimeamua kutongoza majirani nauli yanini tena [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…